miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #21
nauhakiaka ameupata nasubiria kasimu kake ha hahahabas ondoa shaka ujumbe umefika tayari
nauhakiaka ameupata nasubiria kasimu kake ha hahahabas ondoa shaka ujumbe umefika tayari
hapo ndipo wanapokosea aiseee na tamthilia zinawadanganyaNadhani focus huwa ni harusi na sio maisha baada ya harusi
Namuona onlinevizuri akajifunza kwa kweli namna hii nyumba haina furaha kabisa

kama vipi muite tuNamuona online
Bilashaka ameona
Cc: Moyo mashine![]()
![]()
Ha ha ha jiandae itabd upokee ili tupate mrejeshonauhakiaka ameupata nasubiria kasimu kake ha hahaha
Ohooooo......simu yake ina app ya jf ,, so nadhani yupo humu
yeye ni member wa jf pia?
Unashtuka nn tena mkuu?Ohooooo......![]()
![]()
sipokei kwa kweli hayo maneno yatamtoka mpaka basiHa ha ha jiandae itabd upokee ili tupate mrejesho
yani ni shida vichupi tuwili unashindwa mweeekuna shogangu hapa hadi chupi za mume anafua housegirl
hata kuanua tu zikikauka hatoi kwenye kamba zitakaa hapo wee zinadondoka mapaka zinachoka
ndoa yake nae ipo hoi
me hata sinaga cha kumshauri maana ni mvivu balaa
Ha ha ha haya mama.....sipokei kwa kweli hayo maneno yatamtoka mpaka basi
kabandika kucha kuleeeyani ni shida vichupi tuwili unashindwa mweee
na anakoelekea ni kusaidiwa kwa kufoka foka kule ... hata mumewe kaja pale badala asimame ampokee anaita dada njoo upokee matunda huku mweeeAtasaidiwa mpaka kumuhudumia mume
Nilipo unganisha comments, nikawaza kwa sauti hadi nikashtukaUnashtuka nn tena mkuu?
hizo kucha sijui hata anasafishaje kule kwa bibi .. ndiyo maana hata mtoto hawez msafisha jamanikabandika kucha kuleee
yaani huwa namshangaaa
waache wapewe michepuko
Au atakua amesha ona huu uzi ndiomaana anakutafuta kwa bidiisipokei kwa kweli hayo maneno yatamtoka mpaka basi
