Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
Ni msemo wa kwetu uzaramuni.....mazowea tuu ya matumizi yake unaweza pia kuutumia popote unapotaka kuonesha kukerekwa na jambo fulani.Hilo neno nimechoka mie...
linamaanisha nini Mkuu?
kwa hiyo wapo wengi. ngojanifanye karesearchWanawake wengi siku hizi katika kulea ni 00% kabisa.
Hata simshangai kwa hilo maana nawaona wengi.
wanawafanyia vituko tukiwa hatupo inasikitisha kwa kweliDaah! Ata mie ningeshindwa mrekebisha live! Naogopa kusutwa!!! Ila wanawake wengine wamekosa haya! Ndo mana madada wa kazi wanaishia kumalizia hasira zao kwa watoto. Tena mwenye watoto muwe makini sana mnavyotreat wasaidizi wenu wa kazi!
We haujapata mtoto mkuuDaah! Ata mie ningeshindwa mrekebisha live! Naogopa kusutwa!!! Ila wanawake wengine wamekosa haya! Ndo mana madada wa kazi wanaishia kumalizia hasira zao kwa watoto. Tena mwenye watoto muwe makini sana mnavyotreat wasaidizi wenu wa kazi!
Me bado mkuu! Sikuwa tayari huko nyuma!We haujapata mtoto mkuu
Angalia umri unaenda mkuu mayai yasije kuoza hayoMe bado mkuu! Sikuwa tayari huko nyuma!
Najua mkuu! Umri unakimbia kwakweliAngalia umri unaenda mkuu mayai yasije kuoza hayo
Basi vizuri ngoja nikupm kidgoNajua mkuu! Umri unakimbia kwakweli
Huko ndo utanipa mtoto? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi vizuri ngoja nikupm kidgo
Kuna mapacha mkuuHuko ndo utanipa mtoto? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unataka kusema " nioneshe rafiki zako nikwambie tabia yako?" si ndio mkuu? ha ha nataniambona una marafiki wa hovyo hovyo
Maadam naona umechefukwa pole sana. ila ujumbe umefikahii tabia si nzuri kabisa na wengi hawajalelewa hivyo sijui wanatoa wapi hizi tabia za kijinga kabisa
Mapacha ni upande wa mama ndo unadetermine. Afu kwetu hakuna mapacha ata wakusingiziwwKuna mapacha mkuu
Kwetu wapoMapacha ni upande wa mama ndo unadetermine. Afu kwetu hakuna mapacha ata wakusingiziww
asante mkuuMaadam naona umechefukwa pole sana. ila ujumbe umefika