Ujumbe kwa rafiki yangu

wazazi wengi wamekosa hekima
 
Sipendi mwanamke anayeropoka na kufoka foka aisee pia wanaume wanavumilia jamani yani kuna dada niliwahi kukaa nae tena kwa miezi 4 tu na tunaonana mda wa kulala jamani alikuwa ananikera maana ni mchafuuu halafu sio mstaarabu ila sasa hivi kaolewa yani mume wake huwa nikimuona namuonea huruma sana.
 
mtoto wangu atakemewa panapostahili kukemewa,ataadhibiwa atakapostahili adhabu...........kwa namna yoyote ile mtoto wangu atastahili the best of care kwenye angle zote akiwa kwao na watu wanaomuhusu.labda la uchafu kwangu linaweza vumilika.ila kwa mtoto hapana!!
under NO circumstances will i tolerate any form of mistreatment verbally or physically on my kids AND IN THIS NO ONE IS EXEMPTED,EVEN THEIR MOTHER!
mwanamke aninyanyase mimi awezavyo, a misbehave awezavyo kwangu ila kutowaangalia vema wanangu ni kosa lisilosameheka hakika!
yani mi naweza badili papmers na kum keep mtoto afu mamake aite mschana!?..Mungu apishie mbali nitakachomfanya
 
Nashangaaga watu wa hivi wanapataje waume?Yaani kuna watu wametulia sana lkn kuolewa hawaolewi kweli ndoa ni riziki na kila mtu ana fungu lake.
 
Tatizo mnaoa wanawake wa mapambo ambao hawajui wajibu na majukumu yao kama wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…