Ujumbe kwa Kikwete na Rostam

Ujumbe kwa Kikwete na Rostam

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,428
Mabwana,
Najua mna furaha adui yenu aliyefichua mambo yenu amenaswa. Japo hakuna jipya kwa sababu tunaujua uchafu wenu, nawaomba chonde chonde.

Jitokezeni lau mkanusha hata kinafiki vinginevyo mjue. Your cover has been blown out. Kwa wanaume kweli, hili si jambo la kuacha upepo utulie muendelee kula pepo duniani wakati wahanga wenu wakiishi motoni hapa duniani.

Jisuteni na nafsi zenu ziwasute na kuwauma japo mtoe tamko la pamoja au mmoja mmoja. Kusema ukweli, mmeumbuka haswa.

Napiga kelele kimya kimya.
 
Nyumbu mnakaz kwel
Yaani ipo kama mizuzu hii midudu. Inakera kweli wakati mwingine. Juzi kati hapa rostam alijitokeza na kuongea na mwandishi, mlisema nini'?!!!!! Kikwete achaneni nae maana yeye Hana muda kabisaa na hivi vinabo.....anavikaushia tu na badala yake anadeal na mambo yake tu ya msingi.
 
Kabsa
 
Nyumbu mnakaz kwel

Gz6_7geXQAA12GM.jpeg
 
Yaani ipo kama mizuzu hii midudu. Inakera kweli wakati mwingine. Juzi kati hapa rostam alijitokeza na kuongea na mwandishi, mlisema nini'?!!!!! Kikwete achaneni nae maana yeye Hana muda kabisaa na hivi vinabo.....anavikaushia tu na badala yake anadeal na mambo yake tu ya msingi.

G0GPBvwXcAAqH2p.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom