NANI AIJUAYE KESHO ?
[emoji117]Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.
[emoji117]Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.
[emoji117]Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.
[emoji117]Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.
[emoji117]Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.
[emoji117]Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.
[emoji117]Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.
[emoji117]Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.
[emoji117]Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.
[emoji117]Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.
[emoji117]Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.
[emoji117]Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.
[emoji117]Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.
[emoji117] DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.
[emoji117]Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*
TUKUMBUKE KWAMBA.
MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.
@ Justin Mwanshinga