Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

I am not very much sure if you have understood what Mr tangata has written. It appears you have a problem with uchaga. Do you want to tell us that it's only chagas who corrupted this nation? Was CCM run by chagas? What about the Gvt houses? Was that also done by chagas? Achana na ukabila wewe nchi hii ni ya watz wote. Vipi faru john naye wachanga?
Ila ukweli usemwe wachaga mmeibia sana hii nchi mkishilikiana na CCM
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Badilisheni hii chorus jamani imetuchosha,yaani kila wimbo mnaitupia lol
 
Leo Magu rais mm ni member jf bt mwaka 2020 atakaposhindwa urais ataanza kujihusisha na mambo ya kijamii na hatimaye atajiunga jf kama member wakati huo mm nitakuwa moderator hapa jf.

Maisha ni km rangi ya kinyonga.
 
NANI AIJUAYE KESHO ?

Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.

Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.

Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.

Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.

Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.

Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.

Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.

Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.

Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.

Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.

Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.

Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.

Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.

DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.

Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*

TUKUMBUKE KWAMBA.

MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.

@ Justin Mwanshinga

Kwa hiyo unataka kumtisha raisi wetu? Serikali yetu iache kushughukilia criminals wanaotaka kuharibu nchi yetu nzuri kwa sababu ya vijimisemo? Kama misemo ingekuwa na maana yoyote basi Wazungu na Waarabu waliotuuza na kutupiga mijeredi na kubaka Wanawake zetu mbele zetu wangeshalaaniwa lkn waapi mpka leo hii bado wanatutawala na ndo kwanza tunakibilia kwao kuishi!
Hivyo shut the fvck up!
 
Kweli kabisa lakini ni matamanio yangu tuache kujadili watu bali tujadili issues,kati ya vitu ambavyo kiongozi yeyote anatakiwa kufanya ni kubadili jinsi watanzania wanavyofikiri
Inamaana kiongozi ukiiba tuache kukujadili?
 
Mleta mada hiyo ni njaa uliyokuwa nayo propaganda zenu hazisaidii, Hakuna njaa kali kama ile inayoanzia kichwani kuelekea tumboni bora njaa ianze tumboni kuelekea kichwani, Sasa wewe leo umegeuka mtoa ushauri kwa mamlaka ipi ? Lipa kodi kwenda zako unahitaji huruma anza kujihurumia mwenyewe kwa kuliibia taifa muda mrefu, acha Rais afanye kazi
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Sasa kama TZ ilijaa wezi hadi serikali hii ya awamu ya 5 ikaamua kuunda mahakama ya mafisadi.

Sasa ni kwanini hivi sasa Waziri wa Sheria na Katiba, Dr Mwakyembe anatueleza kuwa mahakama ya mafisadi 'imekaukiwa' na majaji wa mahakama hiyo wanakula 'shushu' kwa kuwa mahakama hiyo imekosa watu wa kupelekwa hapo?!
 
Hahahahaaaaaa Gujalati,we baniani au?maana kuna jimbo moja huko India linaitwa Gujarati,umewapasulia mawimbi kama muziki wa Darassa,pasua anga weka muziki.
Ukimsifu mjinga unakuwa senior wake.
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma

Vumilia tu chuki yako dhidi ya wachaga haitakusaidia chochote.

Pambana upate na wewe kama wamekuzidi.

Umeongea kama hao wachaga walikulawt siku za utoto wako.
 
Ukimsifu mjinga unakuwa senior wake.
Sawa mkubwa,basi niache kumsifu nisije kuwa senior au principal wake, haya in mawazo yake ametoa,ujue kuwa haiwezekani watu wote mawazo yakafanana kama wewe unavyotaka mawazo ya wengine yafanane na yako.
BACK TO THE POINT:Ila sasa hivi kuna heshima mtaani,matumizi ya ovyo hamna,watu wanatumia zao za halali,inaonyesha zamani kulikuwa na michongo haramu.Na hao sisi wachache mirija yetu imezibwa ndio tunaopiga kelele kweli kweli,lakini wengi ambao hawakuwa na mirija kimyaaaaa,wanaombea buti kukazwa ili nao wapate heshima mtaani,ndio maana watu sasa hivi wanaouza assets kwa being ndogo na wanunuzi hawapo.
GUJALATI njoo huku uongeze chorus kuna BILA BILÀ anakusubiri.
 
Back
Top Bottom