TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,587
NANI AIJUAYE KESHO ?
Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.
Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.
Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.
Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.
Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.
Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.
Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.
Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.
Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.
Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.
Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.
Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.
Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.
DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.
Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*
TUKUMBUKE KWAMBA.
MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.
@ Justin Mwanshinga