Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Kalisto tuombe Mungu hasiwafanye Polisi wetu kuwa mamba katika mito (nchi) yetu.
 
Huyu nae amesoma? Km huu ndio usomi wenyewe basi ni bora hata uwe shilole kiuno ieleweke.
 
Wakati nasoma nilipofikia haka ka mstari
Ka kutwa mitandaoni UNAMTUKANA raid
Nikaanza kujua napoteza muda kusoma chapisho la mtu wa hovyo kabisa
Muoga na mzushi,anaedhani watu hatuna akili ya kutofautisha tusi na reality
Nimeamua kuishia hapo maana mm siyo wa hovyo
 
sasa wewe jiulize kama Tanzania silaha haziuzwi kama zinavyouzwa marekani na bado watu wasio na hatia wanauwawa kwa risasi,je siku zikianza kuuzwa kuna mtu atasalia?Refer again hotuba ya Trump "" mwafrica ukimpa bunduki ataua ndugu zake"" exactly what is happening in Tz. Yaani waroho Wa madaraka hawawahesabu wengine kama watanzania eti
 
What you think you've written is sense, yet it's nonsense
 
Mkuu kwa makala hii,utakata kiu ya kupata teuzi soon,endeleza juhudi kitaeleweka tu,,,

Ila angalia nyota yako kama ni ya punda utkuwa mbeba mizigo tu,wakati wengine hupata teuzi kirahisi
 
Hivi mtoto mtukutu akihamasisha watoto wa mtaani waende kuogolea kwenye mto wenye mamba na kisha mtoto mmoja akaliwa na mamba, mwenye kosa ni mamba au ni mtoto mtukutu aliyewapeleka wenzake kwenye mto wenye mamba?
Kha! Unafananisha Polisi na Mamba?! Polisi ni binadamu, anajua jema na baya! Acha wehu!
 
Mtatiro komaa nao hawa wauwaji wakubwa wajaa laana, anasema unaandika watu hawakujibu yeye kafanyaje? Mungu awalaani kwa matendo yao! Nna hasira mpaka presha ipo juu kichwa kinaniuma
 
Mvimbishieni bichwa ajione jasiri yakija kumkuta ni familia yake itakayoumia,nyie mtaomboleza na gwanda siku mbili mtasepa, ujinga ni kuropoka upuuz ktk tweet ya mkuu wa nchi ukiwa unajulikana bora huku twabwabwaja tani yetu
Kaa kimya kama unaogopa, wacha wazungumze wanaosikia maumivu coz ww ni mnufaika na ukatili wa awamu ya5
 
Sawa police walitumia nguvu...lakini ijulikane kwamba mikusanyiko kama hii huzaa vikundi ambavyo hutumia nafasi hizi kufanya uhalifu ikiwa ni pamoja na uporaji Wa Mali za RAIA wema....dawa ya magugu ni kuchoma moto ingawa Luna majani mengine yataungua.,.police inaweza kuwa walifanya makosa lakini kwa asilimia ngapi?.....vyombo vya usalama haya mambo tusiyachekee..tupo 50m sasa wawili watatu wasituharibie....tunajua yaliyotokea yanaendelea kuchunguzwa....tuachane na matokeo....ilianzaje?
Bahati nzuri risasi za police wetu huwa hazina macho so tuombe uzima tu.
 
Maandishii mengiii yenye upuuzi wa kujirudia rudia.
Endelea kutetea njaa zako.
Acha kulinganisha mauaji ya marekani na ya tz.
Umewahi sikia au kuona mtu anamiminia raia wenzake risasi bongo?
Lkn hilo ni polisi tu ndy wanaweza lkn huko unakolinganisha nako ww serikali haiui raia kinyama hv.
Matumizi ya mtandao ktk kulikomboa taifa kwa karne ya sasa ni makubwa na hamuwez yazuia wala kumzuia hata mange kimambi and she have impacts kuliko ww mchumia tumbo.
Ufikie muda mujue zama hizi ni zingine kuna baadhi ya mambo ni lazima yatokee hata muzuie vipi hata mumwage damu zaidi za watz.
 
Umesema mtatiro ni Mwehu,na umesema Mwehu watu huwaga hawamjibu,pia ukaongeza kuwa hata watoto huwaga wanaenda nae kwa tahadhari.
Sasa kumuandikia Mwehu waraka kama sio Ujuha,Upunguani au Umaaaluni ni nini ?
Najaribu kukutafutia jina Nakosa,Maana wewe utakuwq ni zaidi ya Mwehu / Punguani

[HASHTAG]#ShitHole[/HASHTAG], Trump was right
 
I will use 48 hrs to sharpen the MACHETTE, so as to use an HOUR to cut the TREEE.
"Katika quote hii Wengine wataona Haya",
1.Machette
2.HOURS
3.SHARPEN
4.TREE
AU wengie wataona :
1.KINGEREZA KIBOVU
2. UJUMBE UMO
3. TAKATAKA.
ila mimi nimelenga. Wewe UPANUE UBONGO wako kuchambua HOJA .
Ila nina hiyo quote alilenga UCHUMI na Jinsi ya kumiliki LASILIMALI ulizonazo.
 
Back
Top Bottom