Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Mtatiro kawa mwandishi wa habari kule Twitter?
 
Sasa mwehu akijibiwa na aliyejibu anaitwa nani?....
Bado tunaendelea kuwa na personal sentiments katika mambo ya jumla.
Hatuwezi kuhalalisha kifo cha Akwilina(R.I.P) kwa maneno na lugha rahisi na iliyojaa propaganda.
Mwandishi yawezekana alikusudia jambo jema,lakini ushabiki wake umemfanya atoke kwenye mstari kwa baadhi ya maeneo ya maneno yake.
Simaanishi kuwa na yeye ni......la hasha.
 
Yaani mtoa mada upeo wako na Mtatiro in mbingu na Ardhi.yaani akili yako ni 1MB na Mtatiro ni1GB.
 
Jana, niliishia kujibu paragraph ya kwanza tu. Leo, naendelea.......maana wewe bila kukujibu paragraph moja moja, akili yako itaendelea kubaki huko huko kwenye makanyagio; nasi tunataka kukusaidia irudi sehemu yake ya asili, ili uweze kufikiri kama inavyokupasa kufikiri.
 
Hivi, kati ya mwenyekiti Mtatiro na mwenyekiti wa ccm nani ni mwehu hasa? Mwenyekiti wako ni mwehu kwelikweli. Kama angekuwa na akili asingemwambia Kagulumujuli kuwa......."najua Chadema watashinda, ila atakayemtangaza mgombea wa Upinzani, hana kazi......."; wakati nchi hii, kwa mujibu wa Katiba ya nchi aliyoapa kuilinda ni ya mfumo wa vyama vingi vya siasa; na zaidi ya yote, vyama vyote vina haki sawa. Kweli kuna mwehu zaidi ya huyu?
 
Shida historia. Hawa ni wavuta bangi Original so wamekuwa wanaharisha tu. Mtatiro Mbona Chadema hamuombi CV yake.
 
Bahati nzuri US govt haiui hao raia unaosema ni wao raia wenyewe ndio mmoja tena just for funny anaamua aone AK 47 ikiwa in action inafananaje kitu ambacho ni tofauti na hii shithole country
 
Huyu takataka anaeitwa Kalisto ni nani atusemee wote tusiopenda yanayofanyika,ni nani huyu mwenye woga wa kike,nani huyu anayedhani polisi kazi yao ni kupambana na maandamano na wakizidiwa kuua,this must be stupid and mad.
Katafute nchi ya wanawake wenzio,hatutaki kuendeshwa na fikra za watu wanne katika hii nchi,peleka upuuzi wako huko kwa mama yako.
 
Mkurugenzi ndiye aliyesababisha haya yote,yuko wapi,au atapewa ukuu wa mkoa,huyu ni muuaji namba moja.
 
Huyu yeye ndo mwehu...sasa kama anajua polisi wana risasi za moto na wamedhamiria kuendelea kuua raia shida na hofu yake nini, si waendelee tu kutuua?

Waendelee kukuua huku umejificha kwenye mtandao???? Nenda kaandamane kama unataka wakuue
 
Paragraph 3: Umuhimu wa hivi vyombo ni pale vinapofanya majukumu yake tu, vinapoacha kufanya majukumu yake yaliyoainishwa kwenye Katiba na kufanya majukumu ya ccm feki(naiita ccm feki kwa sababu hata kwenye katiba ya ccm huu ujangili anaoufanya )wanapoteza uhalali wa kuwepo kwao. Ni sawa tu na mwalimu uliyemkabidhi binti yako ili ampe maarifa, badala yake anampa mimba na kumfukuza shule. Ni afadhali yule binti angebaki nyumbani milele(kwa kuwa maana yooote ya shule imeharibiwa na huyu mwalimu, yet unataka tukae kimya)!!! Shame on you!
 
......kitaalamu ukifanya political instruments zikakosa nguvu ...unazalisha insurgency , hiyo sio principle yangu bali ni principle za peace and strategics studies.....
Kwa sasa wanachama wa vyama wote wamekata tamaa wakiwamo sehemu kubwa tu ya wanachama wa ccm .....ina maana tuko kwenye hali ambayo kichaa yeyote akija na solution nje ya mfumo wa kisiasa atapata kuungwa mkono ...
Na kumbuka mass action sio lazima ihusishe watu wote milioni 58 kwenye nchi bali hata watu 1,000 tu wakianza wanaweza kutuyumbisha , naomba ieleweke kuwa hapa siongei siasa bali naongea hali halisi , Huyu Rais atatuzalishia uasi muda sio mrefu na hatutaki kujeuka loughing stock kwenye ukanda huu.

Najua kuna watu wa Intelligence humu , wafanye observation ya mijadala mitaani ,mitandaoni au mtu mmoja mmoja ....watu wamekosa imani na viongozi wa kisiaasa which is very dangerous ...
Maongezi yanayoongelewa kwenye vikundi vidogo vidogo mitaani hayana ishara nzuri ,nafikiri naeleweka .
Hata mwaka 1983/84 kwa waliokuwa tayari vijana wanakumbuka kulikuwa na fununu fununu hivi zinazagaaa...tofauti tu ni kuwa Mwalimu pamoja na ugumu wa maisha alikuwa anapendwa na kuaminiwa na wananchi ,wanajeshi na wengine sasa unapokuta hadi walio kwenye system wananungunika you have to be very alert !!!
 
Magonjwa ya afya ya akili yanalisumbua sana bara la Afrika.Kwa jinsi tu ulivyoandika inaonekana kuwa Mtatiro siyo mwehu,bali wewe ndiye.
 
Paragraph 4: Si kweli kuwa serikali haijibu hoja za Julius; na hata wasipojibu, haimaanishi kuwa kinachosemwa ni uongo. Kimya kina majibu mengi. Kimya chenu ninyi kinamaanisha kuwa dawa imewaingia, mnatafakari kimya kimya. Amewakwapua taulo(sasa kaka, mtu akikwapuliwa taulo busara si kuchutama)? Au unataka kumkimbiza aliyekuchojoa taulo? Hapana. Si busara. Busara ni kuendelea kuchutama huku ukitafakari utatokaje hapo. Maana hoja za Julius ni kweli tupu. Zinachoma kama unachomwa na pasi, tena uko juani.
 
Paragraph 5: Umetafsiri vizuri sana. Ebu sasa, tuweke mezani kauli za Julius na huyu mwenyekiti, kisha tutajua kuwa mwehu kamili ni nani; kauli za kulinganisha na hoja za Juliusbni hizi zifuatazo: SIKUJA IKULU KUTAFUTA WACHUMBA, HUWEZI KUWA UNAPINGA SERIKALI HALAFU UKAACHWA U-SURVIVE, NATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI, ...NINGEAGIZA MALAIKA WASHUKE NA KUZIMA MITANDAO YOTE YA KIJAMII, NINYI WATU WA MWANZA MLINIPA KURA NYINGI San ads I tawa Qom NYUMBA ZENU, SASA ELIMU NI BURE-WAZAZI NI KUFYATUA TU, KAMA KUNA TAJIRI ALIYENICHANGIA MIMI KWENYE KAMPENI-ASIMAME.......endeleeni tafadhali.
 
Mleta thread kukaa kimya kunaweza kukusaidia kuficha upumbavu wako, lkn kuleta mada za kishabiki huku ukijua wazi kuwa Unatetea ujinga wa kitoto kabisa wa ccm B ktk kuua upinzani ndio kunafanya uonekane kuwa na akili za kitoto. Kumbuka Mtatiro sio wa akili zako hata kdg na ujue hilo.
 
Back
Top Bottom