Yombo vituka
Member
- Oct 25, 2017
- 70
- 31
Unasema hakuna aliyemjibu,mbona wewe umemjibu,jitahidini tu vyeo viko mtapewa tu
Silly.Kama waraka ni wa mtatiro peke yake ange mPMWewe nawe shobo kambiwa mtatiro we vipi ?
Unajua watanzania wengi wanataman kuingia katika vita na hicho ndicho wancho kitafuta
Hawajui athar za vita,hawajui maisha ya KATIKA vita yakoje
Hv watanzania wenzangu mtakimbilia wapi nchi ikiingia katika machafuko kote mmezungukwa na nchi ambazo hazina uslama100% jitafakarni upya.
Hao mnao Leo akina mbowe,mtatiro na wengne wote hao kuingia kwao ulaya ni kugusa tu hao ni wanasiasa popote wanaingia kikiharibika wao na familia zao ulaya na mahela yao katika akaunt za nje je mim na wewe tuanenda wapi?
Jifikirien upya maamuzi yenu upya watanzania wenzangu.
Kuna madhara zaidi ya kuuwa watu wasio na hatia kwa kulinda maslahi binafsi ya wateule wachache?!Wewe na huyo mweka bandiko hamwakilishi maoni "wananchi" hivyo confine maelezo yako kwenye upeo wako wa kufikiri na kwa mtizamo wako peke yako.Mkuu umesomeka ,najua utatukanwa sana lakini ulichosema ndio ukweli,na hawapendi kuusikia,ila iko haja ya ku deal na hawa viumbe personal,Wakiachwa kwakisingizio cha demokrasia madhara yao ni makubwa
Huu ni upuuzi uliopitiliza lakini ni mawazo yako sio mawazo ya watu milioni 6 na ushee wanaokiunga mkono chama hicho.Ni wishful thinking kudhani kwamba ndoto ya utopia ya kuigeuza jamii ya watanzania kuwa homogeneous mono thinkers itafanikiwa.Pole sana.Nimefurahishwa sana na ulichokiandika mkuu Kazi Mkuu . Mimi nimekuwa nikisema humu JF kuwa aliyesababisha mauaji ya Aquilina ni "Mbowe na wahuni" wenzake. Huyu Mbowe hana lengo zuri na hii nchi kabisa, CHADEMA ndiyo chama ambacho kimesababisha umwagaji damu kwa kiwango kikubwa sana katika historia ya vyama vingi hapa Tanzania bara. Mimi naona imefika mahali hichi chama cha "wahuni"(CHADEMA) kifutiliwe mbali kabisa na msajili wa vyama.
Itambidi huyu jamaa azikiri uchi mwaka mzima kupata followers 1.6 million alionao mange!Kalista mbona jina linafanana na LA Dada yangu?Halafu kusema mange kimambi wamempuuza thubutu kawashika pabaya sema hamna namna ya kumpata!
Hata ulicholeta ni mawazo yako binafsi ,hayawakilishi wananchi,sanasana ni kutafuta huruma isiyostahikiKuna madhara zaidi ya kuuwa watu wasio na hatia kwa kulinda maslahi binafsi ya wateule wachache?!Wewe na huyo mweka bandiko hamwakilishi maoni "wananchi" hivyo confine maelezo yako kwenye upeo wako wa kufikiri na kwa mtizamo wako peke yako.
Mimi sijadai kama wewe kuwa ni msemaji wa matakwa na maono ya watanzania mil.45!Hata ulicholeta ni mawazo yako binafsi ,hayawakilishi wananchi,sanasana ni kutafuta huruma isiyostahiki