Eti linaitwa li Kalisto.....fala sana hili, haya ni yale mavilaza yenye vyeti feki hayana cha kuongea zaidi ya kutapika.Wewe ndiye mwehu kabisa, tena utakuwa na kiwango cha phd ya wehu,, Mtatiro anatoa maoni yake ambayo ni haki yake, wewe ni nani unayejipa kazi ya kutaka Mtatiro aandike upendavyo wewe???? Unazungumzia vyombo vya ulinzi!! Wewe ni msemaji wa jeshi gani hapa nchini???
[B]Kazi Mkuu[/B], huyo Kalisto Joseph ni nani? Je ni mzima kweli kichwani? Ni lini kuandamana kumekuwa kinyume cha sheria? Sheria ya wapi?Unawahamasishaje wananchi waandamane wakati unajua ni kinyume na sheria?
Nimefurahishwa sana na ulichokiandika mkuu Kazi Mkuu . Mimi nimekuwa nikisema humu JF kuwa aliyesababisha mauaji ya Aquilina ni "Mbowe na wahuni" wenzake. Huyu Mbowe hana lengo zuri na hii nchi kabisa, CHADEMA ndiyo chama ambacho kimesababisha umwagaji damu kwa kiwango kikubwa sana katika historia ya vyama vingi hapa Tanzania bara. Mimi naona imefika mahali hichi chama cha "wahuni"(CHADEMA) kifutiliwe mbali kabisa na msajili wa vyama.Unajua watanzania tufike mahali tukatae upuuzi na uwehu wa akina Mtatiro na Mbowe. Hawa wanataka kwenda Ikulu kwa gharama za damu za Watanzania. This is unfair!!!
Hatujiulizi kwa nini Mbowe na wenzake baada ya kuhamasisha watu waanze kuandamana wao walikimbia na kujificha?