Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Unaongelea tumbo lako na familia yako. Katu hatuwezi kuwaelewa mwisho wenu umefika
 
Inawezekana huyu ana sababu zake binafsi anazojua yeye za kumchukia Mtatiro. Lakini afahamu tu kuwa Watanzania tunahitaji kufahamu sababu za askari wetu tunaowalipa kwa kodi zetu kwanini wawapige rusasi walipa kodi wa nchi hii? Je, hivi wameishiwa akili kiasi cha kutumia silaha za moto? Hivi wangewasindikiza wakahakisha hakuna fujo inatokea lakini madai yao msimamizi wa uchaguzi akayashughulikia, je hao wafuasi wasingetawanyika? Inakera sana anakuja hapa kama huyu mtoa mada utafikiri siyo binadamu. Ila Mungu amsamehe tu bure.
 
Wewe ndiye mwehu kabisa, tena utakuwa na kiwango cha phd ya wehu,, Mtatiro anatoa maoni yake ambayo ni haki yake, wewe ni nani unayejipa kazi ya kutaka Mtatiro aandike upendavyo wewe???? Unazungumzia vyombo vya ulinzi!! Wewe ni msemaji wa jeshi gani hapa nchini???

Sio Mtatiro pekee ana haki ya kutoa maoni, hata huyu aliyetoa nae ana haki hiyo. Tuvumiliane, katika nchi ya kidemokrasia kunahitajika uvumilivu wa kisiasa
 
Nimesoma andiko lako, Nilichogundua kumbe wewe ndo mwehu Namba moja!

Kwanini hukujiuliza mkurugenzi anawanyimaje barua mawakala wa cdm huku akijua angesababisha tafrani kubwa?

Inaonekana upo tayari hata kuudharirisha utu wako ili mradi tu ushibishe njaa zako.
 
hata uelewi unaandika nini au wataka nini. Mwenye akili finyu kama zako hawezi kuelewa Mtatiro amwandikia nini. Nimezisoma maandishi zake zote cjaona tusi hata moja kwa jeshi wala usalama wa taifa. Ila mwehu wewe mwenye tamaa ya kuhongwa au kutaka vyeo ndio umeona matusi. Ukiwa ccm akili pia uruka
 
Yaani sikufahamu hunifahamu ila ninakupa big up kubwa sana kwa andiko hili juu HUYU Julius Mtatiro sijui huyu jamaa kabila gani ana mtima nyongo wa kukosa ubunge anabaki anaitukana Serikali as if ndo ilimnyima ubunge yaani hata sijui yukoje huyu jamaa,sijui anataka uhuru gani matusi na uchocheji wote huo unaoufanya anataka uhuru gani au anataka uhuru wa kutembea uchi barabari ndo ajue yuko huru yaani hafai hata kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa
 
Huyu anafuta kiki ili serikali ije imkunyuge ila mimi nashauri Serikali iendelee kumpuuza tu ili aendelee kukosa umaarufu
 
Wewe ulie andika hili andiko kwanza si mwananchi wa kawaida ila ni mteuliwa wa Rais na ndiyo sbb umeamua kumtisha Mtatiro.

Pili huna uwezo wa kudanganya watanzania kwamba kwa haya yanayofanyika ktk nchi hii kwa sasa yana nia ya dhati ya kujenga nchi hii na kwamba kuna wapinzani ndiyo wanao kwamisha jitihada hizo sio kweli.

Tatu mfano ulio utolea wa mtoto kuwashawishi wengine kuogelea ktk bwawa la mamba hauna maana yoyote ni mfano mfu kabisa!
-Kunyimwa viapo ni kosa kisheria.
-Kuwazuia kuandamana ni kosa kikatiba.
-Kutumia nguvu kubwa kuwatawanya waandamanaji kwa kutumia risasi za moto ni kosa kisheria.
Sasa utajengaje nchi wakati ww mwenyewe na serikali ya ccm ya awamu ya 5 inavunja katiba ya nchi, inavunja sheria za nchi na kanuni zilizowekwa! "JITAFAKARI"
 
Hivi huko Lumumba wenye akili Sawa wameisha kabisa? Aliyekuambia ni kinyume cha sheria nani? Wasingezuia maandamano nani angekufa? Mtutu wa nini kwa watu wasio na silaha?
 
Ndo umetumwa umjibu nn mbona naona umekuja kumjibu na huku ukisema hajibiwi sasa naona haya ndo majibu yake sindano imekuingia kisawasawa.
 
Hivi ikatokea Kiongozi wa Upinzani akajiapisha kama alivyofanya Raila Odinga.....si maelfu ya watu watauwawa na kubambikiziwa kesi za uhaini.....
SERIKALI NA watanzania tujifunze political tolerance....
Mtatiro anahaki ya kutoa maoni yake....kama wewe unavyomuona mwehu...ndivyo na wengine wanavyokuona Mwehu wa kiwango cha PHD
 
Back
Top Bottom