Ujue Mti chonganishi

Jibu nimelipata tayari kwamba sometimes sio kibamia bali ni ukubwa wa pango hivyo ni vema kuchagua size kama ulivyoshauri
Mbali na hivyoo, unakuta kijimwanaume chembamba alafu anaenda kuchukua mwanamke mnene km asha bokoo , sasa wakati wa match akiingia hapo kwenye mapaja anapotelea humo
round ya kwanza ya pili anahemaa km ametoka kupigana vita ya pili ya dunia.... Sasa hapo mwanamke ndiyoo Kwanzaa hajasikia kitu... Ataacha kukwambia huna nguvu za kiume???
 
 
Makavu live
 
katika hadithi zote za mshana jr mkuu leo nimepata point yako. wakati naenda shule late 2000s mdogo wangu aliupanda huu mti,hamna aliyejua historia ya mti na tulikuwa tunaupenda sana kutokana na kivuli chake. mwaka 2014 mzee wetu alifariki na maisha yamekuwa na changamoto kadhaa nyumbani. japokuwa sasa ninajitegemea lakini nimelinganisha kisa cha huu mti na kifo cha baba naona kuna something. na kibaya huu mti dogo aliupanda mita kama mbili kutoka ukuta wa nyumba na mara kadhaa umepunguzwa ili usilete madhara kwenye nyaya zinazoleta umeme nyumbani. natamani nikaukate kabla haujaleta maafa zaidi
 
Mkuu huu mti no meotesha kwenye kona ya ukuta wa fensi nilipanda miwili moja ukafa. Huo wa kwenye kona umenawiri sana. Nimeogopa sana kwa hii habari. Itabidi nitume taarifa waukate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…