Ni kweli mkuuWengine wanamaliza pesa kwa waganga na kuingia maagano mabaya kumbe tatizo haliko mbali
mkuuu tafadhali nihurumie bhana nilikuwa natania kweli etiijumaa njoo msata
Kaka Mshana Jnr!!!Hebu tujadili kwa mtazamo wa kiroho kwenye hili kwakuwa huo mwingine unajulikana
`Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
Poleni sanaNaamini 100% ulicho kieleza hapo juu mkuu,mengi uliyo yasema still ninayapitia,
Poleni sana