Kata mara moja kuna familia moja huko moshi walikuwa wameipanda sana vifo vikafululiza wameikata. Ni familia ya wasomi tena wanaojitambua.Alafu hiii miti imezuka tuuu miaka ya 95 hapa huko nyuma haikuwepo, sijui mwisho wa dunia unakaribia
Nilishakata zamani, maana nilipanda mbele ya nyumba ikawa inapasua ukuta.Kata mara moja kuna familia moja huko moshi walikuwa wameipanda sana vifo vikafululiza wameikata. Ni familia ya wasomi tena wanaojitambua.
Asante mshana. Ilikua niucharange sasahivi.Hapana huu sio wenyewe
Jr
Muharadali, cku hz tumeletewa miti hii tumeipanda kwa wingi, ngj tuone nao itakuwaje.Vipi kuhusu huu?
Mkuu mshana kwanza hongera kwa makala zako mbali mbali zinazotupatia elimu,maarifa na kufanya tufukiche akili zetu..Swali langu ni kutaka kujua kama 'mti wa mharadali' nao ni kati ya miti chonganishi??
DuuHuu uzi wakati naufungua nikajua huu mti utakuwa ni ule tunaoita "mtathara" Ambao zamani kipindi tunakuwa tulijiaminisha kuwa ukiuchoma kama kuni hapo ndani nilazimakiwake, basi nilitamani sana nikauchome staffs yetu ile ya primary ili walimu wadundane...sema siku pata muda...
Ila huu ulioletwa na wazungu nikiboko