Ujue Mti chonganishi

Ninayo miwili hapa kwangu tangia nihamie hapa mwaka 2014 ni shida tupu nyumba nimeshindwa kuimalizia hela siioni kabisa hata promotion sipati kazini du kumbe balaa ninalo mwenyewe na mahala ilipo kwa chini tayari nyumba ina crakes kibao
 
Ninayo miwili hapa kwangu tangia nihamie hapa mwaka 2014 ni shida tupu nyumba nimeshindwa kuimalizia hela siioni kabisa hata promotion sipati kazini du kumbe balaa ninalo mwenyewe na mahala ilipo kwa chini tayari nyumba ina crakes kibao
Ikate sasa mwakani utaona maajabu
 
Huu mti nmeuontesha lakini zaidi ya watu wawili wananiambia huumti ukiotesha una mikosi, yani hapo nyumbani itakua ni mikosi na ugomvi tuu.

Anaeujue hii habari ya huu mti anieleweshe
Mkuu Kata tuu kwa nini usubir majanga? Piga panga huo
 
Huu mti anaupenda sana niliutafuta niupande home dingi kakataa sikujua kwann ikabidi nipeleke kama zawadi yule niliyosoma nikaupanda hapo paka sasa hiv sijui umefika wapi na miaka saba sijawai kufiki kwenye ile shule tena
 
Ila mkuu Mshana vipi kuhusu kuipanda na nyumba akakaa mpangaji?
Nae anaweza pata majanga au bado yatakuja kwangu?
 
Nimefika kazini hapa nimeweka hii mada kuhusu huu mti naona watu wengi wanasema ni kweli mti huu una nuksi lakini asubuhi nimezunguka pale kwangu nikaingalia hiyo miti nikaionea huruma
 
Mbona ipo mingi sana hii miti. watu wamepanda sana katika nyumba zao na hata katika bustani za starehe. tanga ipo mingi sana katika nyumba za watu jiji wamepanda za kutosha tu katika bustani moja ya kupumzikia almaarufu kama "Bustanini" karibu na bandari ya Tanga.
 
Mimi nilikuwa nayo miwili japo sikuwahi kuplipanda Mimi na wala sikui nani aliipanda
Nimeikata yote lakini jioni hii kabla yata ya kusoma Uzi huu nilikuwa najiukiza kwa kuwa kisiki kimoja kimechakua sana nikawa nawaza namna ya kuking'oa nikaona no usiku unaingia
Nashangaa pop up ya Uzi kuhusu mti nafungua naona ni saw a kabisa na miti noliyoikata na mmoja wapo nilikuwa nawqza kuondoa maotea kwenyekisiki
Mkuu Mshana Jr,
Umenipa tafakari sana juu ya ulichokiandika
Hebu tifungulie zaidi Mkuu
 
Roho alikuongoza na kukuelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…