Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Mkuu umeelezeatu a short introduction to Mbeya.
Huaekeza yafuatayi ambayo ni kivutio.

1.Highest Truk riad in Tanzania, pale Kawetere.

2. Ziiwa kubwa katikati ya Volcano , Lake Ngosi

3. Kimondo kule Mbozi

4. Mito miwili mikubwa inayoingia Lake Nyasa, Kiwira na Songwe na inapoingilia Nyasa haipishani hata kilometa mbili.

5. Mlima nafikiri wa nne kwa urefu, Mlima Rungwe.

6. Lake Nyasa na fukwe za Matema.

7. Milima inayotema gesi Kyejo huko Busokelo.

8. Barabara yenye kona za kutisha kuelekea Chunya, milima Kawetere

9. Mbuga za dhahabu Chunya, ambako hata Rais wa Afrika Kusini, De Klerk aliishi utotoni.

10.Njia kuelekea mbuga za wanyama Ruaha National Park kipitia Igawa na Mkwajuni.

11. Mwanzo wa mto Ruaha, eneo la Ihefu.

Mengine yatolewe na wengine.
 
Iyunga moja ,Hadi lumbila,nzovwe,kalobe,itigi,itende,Hadi iwambi tazara moja pale enzi zetu ndio ilikuwa centre ya kupiga picha [emoji1787]
 
Barabara za mbeya bhana xinafurahisha

Zinashuka kilima na kupanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]gari yako Kama Haina nguvu unaweza Rudi[emoji1787][emoji1787]
 
Mbeya.....ni sehemu flani hiv ambayo ...ukishindwa maisha ............basi huwez Kusurvive sehemu nyngine bongo .......maisha simpo sana .....

Anyway npo mtaa flani hivi wanaita. Forest......
Weewe una undugu na ticha labani wa iyunga
 
Mlima Rungwe haupo kwenye top ten highest mountains in Tanzania
 
Napafahamu sana hapo....
kwa chini mitaa ya kina Marehemu Giriki...
ukishuka chini kidogo unakutana na kanisa la Assemblies of God....
Giriki yupi unamzungumzia wewe .

Kuna giriki mmoja namjua alikuwa dereva wa pale at marys alifariki 2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…