Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Z

Una bahatisha, wengine tumezaliwa huko.
Kama uliishi uswahilini sana , jilaumu mwenyewe.
Kukosa chakula ,tena fresh , ni dhambi Mbeya.
Nimesoma iyunga tech boss

Mitaa ya iyunga,iwambi, nzovwe,njelii Hadi mbali kote nimepita mzee

So halafu watu wa mbeya huwa hamkubaligi mbeya ikikosolewa ninayi hio experience coz Nina ndugu kibao wanaishi mbeya nao Ni wabishi Kama wewe tu .

Ukipata vihoteli uchwars vya kule makunguru Hadi isanga na ilemi wapuuzi wanaweza wali Amira

Kataa! Labda Kama wamebadilika siku hizi
 
Hivyo vihoteli vya mama ntilie visivyo sajiliwa utalishwa sumu.

Hata bongo hapa ukitaka kulishwa vibudu nenda Vingunguti.
 
Nilikaa blok t ilikuwa jirani na monrovian pale
Kulikuwa na hotel ya elland sijui kama ipo bado?
Ukizama ndani kulikuwa na mto huko ni kwenda kupiga maji tu,alaf ukipanda juu kulikuwa na shule ya sec inaitwa ivumwe
Mamaeee mbeya nilipiga sana debe siku za jmamosi enzi hz magari chai maharage

Ova
Hotel ya erland pale karibu na kwa baba stili saizi pana chuo cha teku
 
Nimesoma iyunga tech boss

Mitaa ya iyunga,iwambi, nzovwe,njelii Hadi mbali kote nimepita mzee

So halafu watu wa mbeya huwa hamkubaligi mbeya ikikosolewa ninayi hio experience coz Nina ndugu kibao wanaishi mbeya nao Ni wabishi Kama wewe tu .

Ukipata vihoteli uchwars vya kule makunguru Hadi isanga na ilemi wapuuzi wanaweza wali Amira

Kataa! Labda Kama wamebadilika siku hizi

Hotel ipo Makunguru, Isanga? Hotel gani hiyo? Huko ulijitakia mwenyewe

Mbeya kuna sehemu wanakupa viazi, mchele, ndizi bure ukikataa wankuroga kwa kukataa chakula ndo wakuwekee amira kwenye wali!
 
Mbeya milima ipo karibu tu mjini. Ikipendeza kungekuwa na Trekkers& hikers club. Siku moja nilipanda ile milima ipo kule Swaya. Juu kule kuzuri sana. Kuna bonge la msitu.
Mwezi wa nane mwaka huu, nimeambiwa kuna Redio pale Mbeya inaitwa Mbeya Highlands wanapanga kupanda Mlima Rungwe.
Nitajitahidi kuwepo.
 
Hotel ipo Makunguru, Isanga? Hotel gani hiyo? Huko ulijitakia mwenyewe

Mbeya kuna sehemu wanakupa viazi, mchele, ndizi bure ukikataa wankuroga kwa kukataa chakula ndo wakuwekee amira kwenye wali!
Ha ha ha!
 
40k zipo tena utaenjoy sana, karibu mkuu. Huduma zote utapata wewe tu
Asante sana Mkuu nitajie majina ( jina) kama utojali, ili nikifika nichukue boda boda namtajia jina anipeleke
 
Screenshot_20210315-222556.png
SKU Uyole
 
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa sita (6) iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mikoa mingine ni Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe na Ruvuma. Mkoa wa Mbeya ulianzishwa mwaka 1961 na ulikuwa ukijulikana kwa jina la ‘Southern Highland Province’ kwa kujumuisha baadhi ya maeneo ya mikoa ya Iringa na Rukwa. Mkoa una eneo la km. za mraba 63,617 Kati ya hizo km. za mraba 61,783 ni za nchi kavu na km. za mraba 1,834 ni eneo la maji. Kulingana na Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 1967 mkoa ulikuwa na watu 969,053, Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2002 Mkoa wa Mbeya ulikuwa na jumla ya watu 2,063,328.

Kufikia mwaka 2010 mkoa ulikadiriwa kuwa na watu 2,662,156. Mkoa wa Mbeya upo kusini magharibi mwa eneo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mkoa upo katika Latitudi kati ya 7º na 9º 31’ kusini ya Ikweta na Longitudo kati ya 32º na 35º mashariki ya Greenwich. Mkoa unapakana na nchi ya Malawi upande wa kusini, Mkoa wa Songwe upande wa magharibi, Mikoa ya Tabora na Singida kwa upande wa kaskazini ambapo kwa upande wa mashariki unapakana na Mkoa wa Njombe. Mji wa Kasumulu katika Wilaya ya Kyela, hufanya mlango wa kuingilia na kutokea nchini Malawi.

Katika enzi za ukoloni wa Waingereza, Mkoa wa Mbeya ulikuwa ukijulikana kwa jina la ‘Southern Highland Province’. Mkoa ulikuwa ukiunganisha baadhi ya maeneo ya mikoa mitatu ya sasa ambayo ni Iringa na Rukwa. Jina la Mbeya limetokana na neno la kisafwa."Ibheya" ambalo maana yake ni chumvi, kutokana na wafanyabiashara kufika.na kubadilishana mazao yao kwa chumvi.

Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati huo dhahabu ilianza kupatikana katika milima iliyopo karibu na Mbeya hadi Chunya hivyo Mbeya ulikuwa ni mji wa mapumziko kwa Wazungu kutokana na hali yake nzuri ya hewa, hali iliyosababisha mji wa Mbeya kupewa jina la utani kama "The Scotland of Africa" baada ya kutambua kama uoto, hali yake ya hewa na muonekano wa milima (hills) inayouzunguka mji wa Mbeya kufanana na Scotland mfano uoto unaopatikana katika mlima Loleza. Mkoa huu ni moja kati ya mikoa mikongwe
iliyokuwepo mpaka wa kati wa uhuru mwaka 1961. Katika kipindi hicho, makabila makuu katika Mkoa wa Mbeya yalikuwa ni Wasafwa, Wanyakyusa, Wandali, Wasangu, Wamalila, Wanyiha, wakimbu na Wanyamwanga. Ambapo jamii hizo ni maarufu kwa kujishughulisha na kilimo na ufugaji mdogomdogo.

Kuyanga ishinyiha....mwakata bhuli

Ughonile nkamu ......

Mwaghona......
 
Back
Top Bottom