Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 617
Msitusahau na sisi tunaoishi Ilolo jamani
Mkuu umeelezeatu a short introduction to Mbeya.Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa sita (6) iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mikoa mingine ni Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe na Ruvuma. Mkoa wa Mbeya ulianzishwa mwaka 1961 na ulikuwa ukijulikana kwa jina la ‘Southern Highland Province’ kwa kujumuisha baadhi ya maeneo ya mikoa ya Iringa na Rukwa. Mkoa una eneo la km. za mraba 63,617 Kati ya hizo km. za mraba 61,783 ni za nchi kavu na km. za mraba 1,834 ni eneo la maji. Kulingana na Sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 1967 mkoa ulikuwa na watu 969,053, Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2002 Mkoa wa Mbeya ulikuwa na jumla ya watu 2,063,328.
Kufikia mwaka 2010 mkoa ulikadiriwa kuwa na watu 2,662,156. Mkoa wa Mbeya upo kusini magharibi mwa eneo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mkoa upo katika Latitudi kati ya 7º na 9º 31’ kusini ya Ikweta na Longitudo kati ya 32º na 35º mashariki ya Greenwich. Mkoa unapakana na nchi ya Malawi upande wa kusini, Mkoa wa Songwe upande wa magharibi, Mikoa ya Tabora na Singida kwa upande wa kaskazini ambapo kwa upande wa mashariki unapakana na Mkoa wa Njombe. Mji wa Kasumulu katika Wilaya ya Kyela, hufanya mlango wa kuingilia na kutokea nchini Malawi.
Katika enzi za ukoloni wa Waingereza, Mkoa wa Mbeya ulikuwa ukijulikana kwa jina la ‘Southern Highland Province’. Mkoa ulikuwa ukiunganisha baadhi ya maeneo ya mikoa mitatu ya sasa ambayo ni Iringa na Rukwa. Jina la Mbeya limetokana na neno la kisafwa."Ibheya" ambalo maana yake ni chumvi, kutokana na wafanyabiashara kufika.na kubadilishana mazao yao kwa chumvi.
Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati huo dhahabu ilianza kupatikana katika milima iliyopo karibu na Mbeya hadi Chunya hivyo Mbeya ulikuwa ni mji wa mapumziko kwa Wazungu kutokana na hali yake nzuri ya hewa, hali iliyosababisha mji wa Mbeya kupewa jina la utani kama "The Scotland of Africa" baada ya kutambua kama uoto, hali yake ya hewa na muonekano wa milima (hills) inayouzunguka mji wa Mbeya kufanana na Scotland mfano uoto unaopatikana katika mlima Loleza. Mkoa huu ni moja kati ya mikoa mikongwe
iliyokuwepo mpaka wa kati wa uhuru mwaka 1961. Katika kipindi hicho, makabila makuu katika Mkoa wa Mbeya yalikuwa ni Wasafwa, Wanyakyusa, Wandali, Wasangu, Wamalila, Wanyiha, wakimbu na Wanyamwanga. Ambapo jamii hizo ni maarufu kwa kujishughulisha na kilimo na ufugaji mdogomdogo.
Duuu mitaa yangu ya kupiga story hii!mkuu unanikumbusha mbali sn.



gari yako Kama Haina nguvu unaweza Rudi

Weewe una undugu na ticha labani wa iyungaMbeya.....ni sehemu flani hiv ambayo ...ukishindwa maisha ............basi huwez Kusurvive sehemu nyngine bongo .......maisha simpo sana .....
Anyway npo mtaa flani hivi wanaita. Forest......
Mlima Rungwe haupo kwenye top ten highest mountains in TanzaniaMkuu umeelezeatu a short introduction to Mbeya.
Huaekeza yafuatayi ambayo ni kivutio.
1.Highest Truk riad in Tanzania, pale Kawetere.
2. Ziiwa kubwa katikati ya Volcano , Lake Ngosi
3. Kimondo kule Mbozi
4. Mito miwili mikubwa inayoingia Lake Nyasa, Kiwira na Songwe na inapoingilia Nyasa haipishani hata kilometa mbili.
5. Mlima nafikiri wa nne kwa urefu, Mlima Rungwe.
6. Lake Nyasa na fukwe za Matema.
7. Milima inayotema gesi Kyejo huko Busokelo.
8. Barabara yenye kona za kutisha kuelekea Chunya, milima Kawetere
9. Mbuga za dhahabu Chunya, ambako hata Rais wa Afrika Kusini, De Klerk aliishi utotoni.
10.Njia kuelekea mbuga za wanyama Ruaha National Park kipitia Igawa na Mkwajuni.
11. Mwanzo wa mto Ruaha, eneo la Ihefu.
Mengine yatolewe na wengine.
Giriki yupi unamzungumzia wewe .Napafahamu sana hapo....
kwa chini mitaa ya kina Marehemu Giriki...
ukishuka chini kidogo unakutana na kanisa la Assemblies of God....
Huyo huyo ana ndugu yake anaitwa Ng'ela alikuwa anakaa mitaa hiyo ya Mahakama kuu kwa chiniGiriki yupi unamzungumzia wewe .
Kuna giriki mmoja namjua alikuwa dereva wa pale at marys alifariki 2008
Hapa sio njelii pale lilipokuwa soko la zamani
Mlima Rungwe haupo kwenye top ten highest mountains in Tanzania
Block t.. kwa kishuaNataka kuishi Mbeya. Ni mitaa ipi yenye utulivu unapendekeza nikaishi?
Sio Isyesye....Block t.. kwa kishua
Nimeenda Mara tatu mbeya peak... kuna baridi ya kuua mtu..Mnapajua Mbeya Peak?
Nazungumzia Mbeya Peak hotel ewe kilazaNimeenda Mara tatu mbeya peak... kuna baridi ya kuua mtu..
40k zipo tena utaenjoy sana, karibu mkuu. Huduma zote utapata wewe tuMkuu mwanjelwa ntapata lodge nzuri kwa 40k ? Nataka niende mbeya nikapige misele