40k zipo tena utaenjoy sana, karibu mkuu. Huduma zote utapata wewe tu
Ni wilaya zipi mbeya wanalima maharage kwa wingi?
40k zipo tena utaenjoy sana, karibu mkuu. Huduma zote utapata wewe tu
Wilaya ya Uyole na wilaya ya MbaliziNi wilaya zipi mbeya wanalima maharage kwa wingi?
Wilaya ya Mbeya vijijini maeneo kama Umalira, Ikukwa na Songwe huko wanalima Sana.Ni wilaya zipi mbeya wanalima maharage kwa wingi?
Hizo bado hazijawa wiraya madame ni vitongoji tu. Mbalizi ipo chini ya wiraya ya Mbeya vijijini na uyole IPO wiraya ya Mbeya mjini.Wilaya ya Uyole na wilaya ya Mbalizi
Endelea kugoogle.Mlima Rungwe haupo kwenye top ten highest mountains in Tanzania
Kilaza nani?Nazungumzia Mbeya Peak hotel ewe kilaza
Hata nyanda za juu kusini ni wa pili kwa urefu. Kuna milima mingi haijulikani bongo. Mlima kama Hanang na Loolmalasin.Mlima Rungwe haupo kwenye top ten highest mountains in Tanzania
Mbeya Peak is at 2900 metres above sea level.Mnapajua Mbeya Peak?
Huo ni uzoefu wako sehemu za njaa njaa.Misosi ya mbeya imewekwa Amira Sana kuwa makini![]()
Tanzania kuna milima mingi sana mirefu. Crater highlands kule kwenye Ngorongoro kuna milima mingi sana imepita 3000m.Endelea kugoogle.
Milima uliyoinyesh ina elevation mingine 2400masl na 2500masl.
Ukiondoa Kilimanjaro(na Mawenzi) 5 , Meru, Hanang na Oldonyo Lengai, Rungwe ni force to reckon with at 2981masl(wengine wanasema 2960masl).
Huo ni uzoefu wako sehemu za njaa njaa.Misosi ya mbeya imewekwa Amira Sana kuwa makini![]()
Mount Loolmalasin (sometimes spelled "Loolmalassin")[1] is a mountain in Tanzania with a peak elevation of 3,682 metres (12,080 ft)[1] above sea level. Loolmalasin is in the Ngorongoro District of the Arusha Region. It is, after Mount Kilimanjaro and Mount Meru, the third-highest mountain in Tanzania if Kilimanjaro's three peaks are considered to be one mountain.[2]Hata nyanda za juu kusini ni wa pili kwa urefu. Kuna milima mingi haijulikani bongo. Mlima kama Hanang na Loolmalasin.
Niliishi mbeya kwa miaka 4 so sibahatishi mkuuHuo ni uzoefu wako sehemu za njaa njaa.
Mbeya unakula mpaka unatupa chakula.
Basi Huyo Jamaa nimekaa kwake enzi hizo nimekula ugali wake alikuwa white hivi au sio ?Huyo huyo ana ndugu yake anaitwa Ng'ela alikuwa anakaa mitaa hiyo ya Mahakama kuu kwa chini
Mbeya milima ipo karibu tu mjini. Ikipendeza kungekuwa na Trekkers& hikers club. Siku moja nilipanda ile milima ipo kule Swaya. Juu kule kuzuri sana. Kuna bonge la msitu.Nimeenda Mara tatu mbeya peak... kuna baridi ya kuua mtu..
Ushafika Tukuyu maeneo ya mwakaleli mpaka Lifilyio? Kapande Ile milima ya Livingston's uustaajabu uzuri wa Mbeya mkuu.Mbeya milima ipo karibu tu mjini. Ikipendeza kungekuwa na Trekkers& hikers club. Siku moja nilipanda ile milima ipo kule Swaya. Juu kule kuzuri sana. Kuna bonge la msitu.
Una bahatisha, wengine tumezaliwa huko.Niliishi mbeya kwa miaka 4 so sibahatishi mkuu
Sawa JINIAZINazungumzia Mbeya Peak hotel ewe kilaza