Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
- Thread starter
- #41
Haha hahaha baba la mjiBujibuji Mbeya yote ipo Mikononi mwako Hahahaaaa!!!
Haha hahaha baba la mjiBujibuji Mbeya yote ipo Mikononi mwako Hahahaaaa!!!
Dah umenikumbusha mbali saaaana. Nimetamani mno hizo ndyela.View attachment 1698231
Kande na kijiko chake Cha mgomba, ndundu
Forest kitaa kipi?Mbeya.....ni sehemu flani hiv ambayo ...ukishindwa maisha ............basi huwez Kusurvive sehemu nyngine bongo .......maisha simpo sana .....
Anyway npo mtaa flani hivi wanaita. Forest......
Long time sana mwanaUmenikumbusha mbali kuna Baar moja maarufu kipindi hicho inaitwa Vamponji tumekula sana beer na kitimoto na kuvuta bangi.....
bila kusahau Savoi....
Hapana Kwa Sasa Mbeya Haipakani Na Zambia Ila Songwe Ndo Yapakana Na Zambia Nadhan Wilaya Ya Momba Na IlejeBujibuji, hivi baada ya mkoa wa Mbeya kugawanywa na kuanzishwa mkoa wa Songwe, bado Mbeya inapakana na Zambia? Kwa wilaya ipi? Najua Ileje iko upande wa Songwe.
Ulifwaa BujibujiHukubahatika kuonja Mmalila?
......mahakama kuu hapa mkuuForest kitaa kipi?
....aaaah kule hakufai mkuu ....xema tatzo ni uwepo wa madin na tumbakuSiyo Mbeya yote, hujaishi Chunya wewe! Gharama za maisha ya wilaya ya Chunya yanaelekeana na Arusha.
Napafahamu sana hapo..........mahakama kuu hapa mkuu
Nikiwa darasa la kwanza nilinusurika kugongwa na gari nikiwa navuka kwenye mteremko huu siwezi sahau. Long timeView attachment 1698233
Lami ya Mteremko wa Meta/ Mabatini. Mlima unaoonekana kwenye background ni Mlima Loleza
Kengere ya saa nne ikipigwa tunakimbilia mwiboma kununua maandazi. Nilikuwa Sisimba.Halafu mchele super, ukienda Mwiboma unakula wanakupa na nyonyeza
Haya ndio maeneo ya kishua Mbeya + Veta Ikulu mpaka Olambia, watu wanajenga mijumba ya kisasa kabisa.Uzunguni, Forest Mpya, Isyesye.
Mitaa ya kwenu mzee wa chataaaNapafahamu sana hapo....
kwa chini mitaa ya kina Marehemu Giriki...
ukishuka chini kidogo unakutana na kanisa la Assemblies of God....
Uzunguni, Forest Mpya, Isyesye.