Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Umesomeka kamanda. Mbeya inabadilika kwa kasi, mie mwenyewe nilishaishi kidogo kule pande za Sae. Kwa sasa mji unakua sana. Eti ushuani ni Isyesye na Forest mpya, wakati zamani ushuani ilikua ni Uzunguni na Block T.
Blot t sahv vp syo ushuwani tena

Ova
 
Umesomeka kamanda. Mbeya inabadilika kwa kasi, mie mwenyewe nilishaishi kidogo kule pande za Sae. Kwa sasa mji unakua sana. Eti ushuani ni Isyesye na Forest mpya, wakati zamani ushuani ilikua ni Uzunguni na Block T.

Hivi Dhando club ilikuwa Block T?
 
Hahaaa nishausahau mtaa maana ni long sana hadi naondoka daladala kutoka itende hadi town ilikuwa Tsh 100.....Ila meneo ya Loleza.
... ha ha ha! Kipindi hicho Safina na Comfort ndio the best coaches Mbeya - Dar! Lazima uwe umesahau sio siri.
 
Umesahau fresh ya shamba pia

Ova
... fresh ya shamba ya juzi Mkuu. Nazungumzia wakongwe wa 80's huko; carrier iko juu! Leyland Albion na DAF walioachiwa kijiti na TTBS. Wewe unazungumzia Scania; tena mizigo inawekwa chini?
 
FB_IMG_16006745920937870.jpg

Kande na kijiko chake Cha mgomba, ndundu
 
Mbeya.....ni sehemu flani hiv ambayo ...ukishindwa maisha ............basi huwez Kusurvive sehemu nyngine bongo .......maisha simpo sana .....

Anyway npo mtaa flani hivi wanaita. Forest......
Screenshot_20210209-133038.png

Lami ya Mteremko wa Meta/ Mabatini. Mlima unaoonekana kwenye background ni Mlima Loleza
 
Back
Top Bottom