🤣 🤣 🤣 🤣 kabisa kaka. Mwigulu katuchafulia mawe na madaraja, kuanzia Ngara Mpaka Mbamba Bay, kutokea Ndalambo Momba mpaka Horohoro. He is sh*t kwa kweli.Muhuni sana huyo mjomba, kapiga chata vichochoro vyote kama Mwigulu rais wetu 2015
Bujibuji, hivi baada ya mkoa wa Mbeya kugawanywa na kuanzishwa mkoa wa Songwe, bado Mbeya inapakana na Zambia? Kwa wilaya ipi? Najua Ileje iko upande wa Songwe.
View attachment 1698231
Kande na kijiko chake Cha mgomba, ndundu
Bhikuti ingati hahaaaa tukulya ni ndundu huwa tamu sanaView attachment 1698231
Kande na kijiko chake Cha mgomba, ndundu
inyala kumbukumbu nzur sana long timekaribu iyunga mkuu mtaa wa inyala kuna utulivu
Tukuyu,Wilaya ya rungweNataka kuishi Mbeya. Ni mitaa ipi yenye utulivu unapendekeza nikaishi?
Nafikiri WASAFWA ni kabila namba moja kwa unywaji wa pombe kwa Tanzania hii lakini pia wanafanya sana kazi...Manyiiiii
Mashamba ya miwa yanawategemea Sana WasafwaNafikiri WASAFWA ni kabila namba moja kwa unywaji wa pombe kwa Tanzania hii lakini pia wanafanya sana kazi...
Hata mashamba ya viazi huko kaskazini...Mashamba ya miwa yanawategemea Sana Wasafwa
Ni wapi Hapa?
Zamani Mby ilikuwa inaitwa Gold TownNdaga figho,, Scotland of Africa
Duuu mitaa yangu ya kupiga story hii!mkuu unanikumbusha mbali sn.View attachment 1698233
Lami ya Mteremko wa Meta/ Mabatini. Mlima unaoonekana kwenye background ni Mlima Loleza
Mkuu mwanjelwa ntapata lodge nzuri kwa 40k ? Nataka niende mbeya nikapige miseleNipo kitandani naumwa mkuu, nikipona nitajitahidi kuweka maana ndipo ninapoishi.