Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

Hivi huko sehemu za bado wasafwa wapole,waoga,wanaushamba?

Ova
Wengi bado wanajishugurisha na kilimo cha mahindi, viazi na maaragwe, wengine ni wafugaji wadogo wadogo wanasambaza maziwa mjini
 
Kama n kuishi yani kujenga nyumba yako nakuchagulia
Forest mpya- miaka ya 2015 kurud nyuma walikuwa wanajenga wastaafu na wenye mikwanja yao but ujio wa magufuli ukapiga marufuku ya matabaka hayo. Siku hiz sheria ukinunua uwanja bc jenga no kuukalisha bila kujenga. Akishindwa hapo bc aende Isyesye, kule majumba makubwa ni ya vijana wadogo tu, yani ukimwona lazima ujiulizie hivi hizo zote n mali zake? Hutaweza kupata majib na hutajua anafanyia kazi wapi, but inasadikika walio wengi kule wamebeba mali za mikataba. Wakubwa tu watanielewa hapa.🤣🤣
Mimi nimekuelewa, isyesye imechafuka kwa mijumba ya kisasa na hili eneo la bondeni hapa wanapaita Olambia.
 
Mimi nimekuelewa, isyesye imechafuka kwa mijumba ya kisasa na hili eneo la bondeni hapa wanapaita Olambia.
Hakika ukienda kule kijana kama mm unaweza kuhisi ulikuja kusindikiza wenzako hapa duniani🤣🤣🤣🤣
 
Kama n kuishi yani kujenga nyumba yako nakuchagulia
Forest mpya- miaka ya 2015 kurud nyuma walikuwa wanajenga wastaafu na wenye mikwanja yao but ujio wa magufuli ukapiga marufuku ya matabaka hayo. Siku hiz sheria ukinunua uwanja bc jenga no kuukalisha bila kujenga. Akishindwa hapo bc aende Isyesye, kule majumba makubwa ni ya vijana wadogo tu, yani ukimwona lazima ujiulizie hivi hizo zote n mali zake? Hutaweza kupata majib na hutajua anafanyia kazi wapi, but inasadikika walio wengi kule wamebeba mali za mikataba. Wakubwa tu watanielewa hapa.
Aiseee!!
 
Mbeya.....ni sehemu flani hiv ambayo ...ukishindwa maisha ............basi huwez Kusurvive sehemu nyngine bongo .......maisha simpo sana .....

Anyway npo mtaa flani hivi wanaita. Forest......
Kwa manyanya au esso
 
Back
Top Bottom