Mti majungu
Member
- May 19, 2015
- 56
- 79
Hayo waachie waafrica kusini, wewe kamata fursa tuisogeze nchi yetu mbele.Aiseeeh,
Ila si ni Kama, Zuma wa Mzee Madiba amepoteza sifa Kama kiongozi mwenye weredi au mimi bado niko zama za mawe!?
Au Africa ndiyo mwendo wetu!?
Nitarudi tena...
Hayo waachie waafrica kusini, wewe kamata fursa tuisogeze nchi yetu mbele.
Kagame+Museveni+Zuma is equal to !?Viongozi wanaoitembelea Tanzania ya leo..
Utafikiri tumelaaniwa.
Kagame+Museveni+Zuma is equal to !?
Na bila kusahau Geita wakiondoka hayo mashimo watakayotuachia itakuwa lawama kwa kizazi kijacho.Hao ni makaburu Mmexico , uwe makini na usemacho
Hao si ndiyo wezi wa dhahabu yetu pale Nyamongo!
Naomba tu, niishie hapo maana nina maumivu Sana jinsi tunavyoibiwa. Naweza nikakata miguu ya kaburu hiyo kesho au siku hizo 3 sema bahati mbaya niko mbali sana na nchi yangu Tanzania.
=BALAA KUBWA.Kagame+Museveni+Zuma is equal to !?