Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,085
- 100,540
Bado mnamfuatilia huyo bashite?
He has lost it big time....he has lost the authority he is not different from those who records themselves and post.....You can't be serious
Jamani SA wanaibaje dhahabu yetu? Hivi kweli kwa tunavyoelewa nchi yetu kuibiwa kwetu makosa ya Zuma? Tujiangalie upya. We have enemies within!Huyo kiazi, Anatafuta huruma za Sadc members, same time ,atuibie dhahabu aipeleke kule sauzi ili wana Madiba wamuonee huruma wasimng'oe kwenye kiti cha urais .
Sijaona mtafuta hiyo kiki kama LemaWapi uyo,,anakuj tafuta kiki
Kwalipi hasaAliyeweka hii post apigwe ban
Ndege wafananao huruka pamojaHana jipya Zuma acje kumfundisha urasim tu rais we2 jembe
Aiseeeh,
Ila si ni Kama, Zuma wa Mzee Madiba amepoteza sifa Kama kiongozi mwenye weredi au mimi bado niko zama za mawe!?
Au Africa ndiyo mwendo wetu!?
Nitarudi tena...
Aliyemleta ni Makonda kwa ID nyingine.Tulishakubaliana huyu MTU bashite tupotezee mnatoka wapi nae tena ?
Ndege wafananao huruka pamoja
Moderators futa huu uzi, huyu habari zake hazitakiwi kuandikwa
[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukitaka kujua Tabia ya mtu angalia rafiki zake.
Ukitaka kujua tabia ya Mtawala angalia wateule wake.