Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Kagame+Museveni+Zuma is equal to !?
Hujaweka +JPM = Rushwa na ufisadi uliopitiliza
Kagame+Museveni+Zuma is equal to !?
Zuma Naye Ni Bashite sana huko South Lakini yeye aliamua Kuingia Mkavu Mkavu Kutoka Koromije, Kumradhi Nkandla Bila akufoji Cheti Chohote! Hila huyu anayemkaribisha Alifoji
Mkuu hii nimecheka sana hasa ikizingatiwa ndio sifa zake.Naona kaja kufundisha uzinzi na ufisadi
Fanya kaz acha majungu.Wewe ungekuwa msomi usinge andika "name miwani,bola Auburn"Ukimwangalia kavaa name miwani, bola auburn utafikili ni msomi,
Amsaidie nini?bashite hapo kachemka huyo zuma nchi yake ishamshinda anataka kujipendekeza kikinuka south magu amsaidie
bashite hapo kachemka huyo zuma nchi yake ishamshinda anataka kujipendekeza kikinuka south magu amsaidie
kajifunza kwa yahya jameh mojwapo ya mambo yaliomuangusha alikuwa yuko mbali na ushirikiano na nchi jirani liberia senegal nigeria siera leoneAmsaidie nini?