Ujio wa Zuma: RC wa Dar anena haya

Ujio wa Zuma: RC wa Dar anena haya

Jamani SA wanaibaje dhahabu yetu? Hivi kweli kwa tunavyoelewa nchi yetu kuibiwa kwetu makosa ya Zuma? Tujiangalie upya. We have enemies within!

Same move , nothing to discuss on this. Most of people are not aware about who real steal our resources. You to thinks in the same line.

For example, Rwanda is exporting minerals to different international markets while they don't have any mines So, how can you justify your statement!!

I know that we do have internal crooks but president Zuma, must be aware and he is behind the scene, .

We do understand, how the game is played by top politicians to loot resources from other countries.

Kama, hujui kitu usifikilie kuwa watu wengine hawajui. Ila rais wa nchi yoyote ile anajua kila kitu kuhusu wizi unaofanywa na kampuni za. Nchini kwake nje ya nchi na pia nchi, inayoibiwa inajua.

Zuma, he is paying a visit to TZ after Dr Magufuli to make a lot and strict changes in mineral sector.

I regret to inform you that, I will not be able to write any further details on this.
 
Ikiwezekana Makonda waalike TBC TU hawa mburula wengine waache wale jeuri yao...TIT FOR TAT
 
Huyo kiazi, Anatafuta huruma za Sadc members, same time ,atuibie dhahabu aipeleke kule sauzi ili wana Madiba wamuonee huruma wasimng'oe kwenye kiti cha urais .
Wabunge wengi ni ANC hakuna wa kumtoa acha kusikiliza porojo za akina malema
 
Huyo jamaa Post zake mi huwa sizitumii kabisa.. [emoji36] [emoji36] [emoji125] [emoji125]
 
Zuma kuja Dar na kupokelewa na makonda ni sawa kabisa maana matendo na elimu zao zina fanana, na wote sasa wakisimama majukwaani wamegeuka vichekesho na kero badala ya viongozi, acha waje waongee wafarijiane.
 
Back
Top Bottom