Ujio wa Yesu na Dini

Ujio wa Yesu na Dini

Hii ni ngumu kumeza kwangu.How?? Eneo gani la east Africa?? Ni wapi unapatia confidence ya kusema East Africa ni mwanzo wa maisha ya Mwarabu???
kwanza nikuweke sawa,ancient egypt(kemet) ilikuwa ya watu weusi,mafarao waliojenga mapiramidi ya kwanza(step pyramid by imhotep,great pyramids at giza)...misri ilivamiwa na wagiriki,wakafata warumi na mwisho waarabu ambao wapo hadi sasa(story yake hapa ni ndefu kidogo).

nasema walitokea afrika mashariki confidently...this is what they said.."We came from the beginning of the Nile where God Hapi dwells, at the foothills of The Mountains of the Moon." "We," meaning the Egyptians, as stated, came from the beginning of the Nile.This proof is housed in the London Museum that is holding artifacts of Egypt. In that museum you will find a document called the Papyrus of Hunifer.Kwa kukufahamisha tu "the mountains of the moon" ni mlima kilimanjaro.
 
matusi ya nini mkuu hujafundishwa tafsida shuleni?Mungu akusamahe na akuonyeshe haki.
kama quran taurati injili zaburi ni maneno ya binadamu
mbona hajatokea binadamu mwingine kutunga vitabu mfano wa hivyo vinavyoelezea ghaibu na yeye akaanzisha dini yake ?otherwise you have to accept Muhammad and Jesus were not ordinary people
Kuna tusi hapo? mbona hata hayo maneno ni tafsida pia?......hao uliowataja ni wazushi tu.
 
Mkuu, imani inakutaka uamini kitu flani na unakuwa na uhakika kwamba kitakuwa. ukiwa ndani ya dini unaamini kuwa maendeleo na mambo mengi ya kukupa maisha mazuri yanaletwa na Mungu lakini wasiokuwa na dini hawaamini hivyo wanaamini katika jitihada na ugunduzi wa vitu mbali mbali ambavyo vinatoa majibu kwa mahitaji yao.
Kuna watu gani hawafanyi kazi wapo tu nyumbani wakiamini maendeleo yanaletwa na mungu? kwa sababu ili hii imani ilete athari ibabidi wawepo watu ambao hawafanyi kazi na kusubiri tu maendeleo kutoka kwa mungu,lakini kama bado watu wanafanya kazi kama kawaida lakini bado wanaamini hivyo je,hapo utaonaje athari ya dini katika maendeleo?

Na hata hivyo kuna watu wangapi ambao hujituma sana katika kazi ila hawana maendeleo? kuna watu toka niko mdogo nawajua kwa jitihada na bidii zao za kazi ila hakuna kinachobadilika,lakini pia kuna watu hawana bidii ila wamefanikiwa.
 
kuna kitu hukielewi,hayo yalikuwa mambo ya makabila na sio mambo ya mungu,elimu kwako wewe unaitafsiri vipi?kuwa na degree au diploma ya uhasibu?katika kitabu cha going back and forth day and night(book of the dead) ndio msingi wa dini ya watu weusi waafrika,hakuna sehemu zinatajwa hizo imani za kafara....na biblia yako ndio inayotoa kafara,kasome stori ya abraham kumchinja mwanae isaka eti kutoa sadaka kwa yehova..get your facts right!
Ina maana waafrika tulikuwa na dini yetu? kwa maana hiyo na mataifa mengine pia nao walikuwa na dini zao?

Hii inaleta maana gani?

Na kwanini imani za haya makabila ndiyo zijulikane na zengine kuwepo hadi leo lakini hili suala la dini ya afrika limekuwa tata sana?
 
mkuu wazungu hawakuwa na dini,walipovamia misri(ambayo ilikuwa na watu weusi) wakaiga the way of worship ya black people,na waafrika walikuwa wanapractise imani yao miaka zidi ya elfu tano kabla ya uzushi wa yesu,biblia,yahwe/yehova...wazungu walikuwa mapangoni kipindi wakushi(waethipoia na wamisri,weusi sio hawa wavamizi wa kiarabu unaowaona leo) wakiwa na uttatu mtakakatifu (isis,osiris na horus) ambao leo mnadanganywa eti anayeitwa maria mzungu aliyepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu...upuuzi huu usiuamini sababu wamisri(weusi)walikuwa wa kwanza kuwa na story hii na wazungu waliingia chaka na kuitafsiri ndivyo sivyo!!!
 
Mkuu hujanitendea haki,kwa maswali yote hayo niliyouliza halafu umerudia tu kueleza yaleyale ya wazungu na huko misri!!!

Hoja ni kwamba kama waafrika walikuwa na dini yao basi ni kwa waafrika pekee na hivyo jamii zengine pia zitakuwa ama zilikuwa na dini zao pia.

Na ndipo nikauliza je hii inaleta maana gani kama kila jamii kuwa na dini take?
 
Kuna watu gani hawafanyi kazi wapo tu nyumbani wakiamini maendeleo yanaletwa na mungu? kwa sababu ili hii imani ilete athari ibabidi wawepo watu ambao hawafanyi kazi na kusubiri tu maendeleo kutoka kwa mungu,lakini kama bado watu wanafanya kazi kama kawaida lakini bado wanaamini hivyo je,hapo utaonaje athari ya dini katika maendeleo?

Na hata hivyo kuna watu wangapi ambao hujituma sana katika kazi ila hawana maendeleo? kuna watu toka niko mdogo nawajua kwa jitihada na bidii zao za kazi ila hakuna kinachobadilika,lakini pia kuna watu hawana bidii ila wamefanikiwa.
Mleta post mmoja juu alikupa mfano wa watu kushinda makanisani sasa waweza kujiuliza muda wa kufanya kazi wanatoa wapi? Wapo wengi ambao maisha yakiwapiga hukimbilia kanisani kuombewa wakiamini ndo msaadawa maendeleo uliobaki badala ya kutafuta vyanzo vingine vya mapato
 
Mkuu hujanitendea haki,kwa maswali yote hayo niliyouliza halafu umerudia tu kueleza yaleyale ya wazungu na huko misri!!!

Hoja ni kwamba kama waafrika walikuwa na dini yao basi ni kwa waafrika pekee na hivyo jamii zengine pia zitakuwa ama zilikuwa na dini zao pia.

Na ndipo nikauliza je hii inaleta maana gani kama kila jamii kuwa na dini take?

Dini ni kama taasisi iliyotengenezwa kuwa subject watu haswa waafrica kukubali utawala wa wazungu na kuwafanya kuwa tegemezi maisha yao yote..Tafsiri yangu..
 
Kuna sehemu bibilia inasema"Baada ya adam kula tunda akajikuta yupo uchi akakimbia na kujificha"Mungu akaanza kumtafuta Adam na kuuliza Adam upo wapi?Yaani Mungu muweza wa yote alikuwa hamuoni Adam pale Garden?Nadataga sana.
 
Ha ha haaaa maneno ya biblia, sijui ni makosa ya waandishi Dah!!
 
mkuu wazungu hawakuwa na dini,walipovamia misri(ambayo ilikuwa na watu weusi) wakaiga the way of worship ya black people,na waafrika walikuwa wanapractise imani yao miaka zidi ya elfu tano kabla ya uzushi wa yesu,biblia,yahwe/yehova...wazungu walikuwa mapangoni kipindi wakushi(waethipoia na wamisri,weusi sio hawa wavamizi wa kiarabu unaowaona leo) wakiwa na uttatu mtakakatifu (isis,osiris na horus) ambao leo mnadanganywa eti anayeitwa maria mzungu aliyepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu...upuuzi huu usiuamini sababu wamisri(weusi)walikuwa wa kwanza kuwa na story hii na wazungu waliingia chaka na kuitafsiri ndivyo sivyo!!!
Amen Ra
 
1.mpumbav wakat mwngne hupitia mema kuleta upumbav wake ktk mema mana yawez kuwa dini nzur na ipo ila mtu na ushawish wa watu wakaaribu sifa na sura
2.dini waafrik inatuhusu tena san coz km misri algeria tunisia n.k hauta jumuisha kuw n afrik ambay wazung waligawa bara bas wana vitu ving wazungu vya kutusema
3.baadh ya majina ya nchi za afrik kipind iko n KUSHI NUBIA KIRENE wher by FILIPO mwinjilist mwnfunz wa yesu alifik ETHIOPIA(kushi) pia yule SIMONI MKIRENE (kirene-sudani kusini) ndie aliyemsaidia YESU msalaba so dini za tuhusu pia soma 1wakornht
4.asili chimbuko la dini n ASIA mbona wasema wazungu badala ya WATU WEUPE
5.jibu zuri soma wakorintho 1...badala ya ww mwan Jf kubuni buni husije kupata sabuni
 
yesu anaweza kurudi mda wowote ule ipo siku utajua ukweli mungu akuponye hayo mawazo yk
 
Back
Top Bottom