Ujio wa Yesu na Dini

Ujio wa Yesu na Dini

Sasa hapo ushahidi wa kuwa hakuna kinachoendelea ni upi?

Halafu vitu vingine ni vya ajabu,leo hatushangai habari ya ya manii kwa sababu tunajua taratibu zake hadi anapokuja kupatikana kiumbe na hadi kuzaliwa ila unasema haiwezekani binadamu huyo huyo aliyepatikana kwa manii kuwa hawezi kufufuka!!!
Hawezi kufufuka... Dunia ipo na itaendelea kuwepo Mkuu you come and go but the world stand still
 
Nimekuuliza kuna watu hawafanyi kazi wapo ndani wakimtegemea mungu? au wote wenye kuamini na wasio amini dini wanafanya kazi pamoja?
Wanaweza kufanya kazi but hawaamini moja kwa moja kuwa kazi ndo inayoendesha maisha yao rather wanaamini kwamba Mungu ndo kawapa hiyo kazi na ndio anaye i-control... Kikutwa cha kuelewa ni imani yao imelala wapi? Kwa Mungu au kazi wanazofanya kwa maendeleo yao
 
Hawezi kufufuka... Dunia ipo na itaendelea kuwepo Mkuu you come and go but the world stand still
Kama unaamini waliyokufa hawawezi kufufuka basi sawa ila kinyume na hivyo lete ushahidi na ndiyo maana nilikuuliza ulishawahi kufa?
 
Wanaweza kufanya kazi but hawaamini moja kwa moja kuwa kazi ndo inayoendesha maisha yao rather wanaamini kwamba Mungu ndo kawapa hiyo kazi na ndio anaye i-control... Kikutwa cha kuelewa ni imani yao imelala wapi? Kwa Mungu au kazi wanazofanya kwa maendeleo yao
Vizuri sana kumbe wote wanafanya kazi iwe una dini au huna,sasa kama hivyo je tatizo ni nini kuamini hivyo wanavyo amini huku wakiendelea kufanya kazi kama kawaida?
 
Kama kizazi cha shetani kilitokomezwa kwenye gharika huu ushatani wa leo unatoka wapi?
 
Ok,wewe si wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho.Bahati mbaya umekuja kipindi ambacho " nimeacha kupanda mbegu barabarani".Tafuta post zangu za nyuma inawezekana ukajifunza kitu.
 
Ok,wewe si wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho.Bahati mbaya umekuja kipindi ambacho " nimeacha kupanda mbegu barabarani".Tafuta post zangu za nyuma inawezekana ukajifunza kitu.
Una uhakika kuwa ndio nimekuja wakati huu?
Post zako nizitafute kwa ajili gani? na nizitafutie wapi?..........tujiepushe na kazi za kiwendawazimu.
 
Vizuri sana kumbe wote wanafanya kazi iwe una dini au huna,sasa kama hivyo je tatizo ni nini kuamini hivyo wanavyo amini huku wakiendelea kufanya kazi kama kawaida?
umaskini unaoletwa na hiyo imani ya dini..maskini kibao na bado wanaenda kutoka sadaka yani kujiongezea umaskini..
 
Kama unaamini waliyokufa hawawezi kufufuka basi sawa ila kinyume na hivyo lete ushahidi na ndiyo maana nilikuuliza ulishawahi kufa?

usiwe unaongea maneno ya matumaini na ya kufikirika hivi unafufukaje huku baada ya miaka 4 wakifukua kaburi lako hawakuti kitu.. unataka ushahidi upi tena.. tangu umezaliwa ushawahi kumuona mtu aliyefufuka!! Duh napata shida sana kukuelewesha sijui nitumie njia gani ..
 
umaskini unaoletwa na hiyo imani ya dini..maskini kibao na bado wanaenda kutoka sadaka yani kujiongezea umaskini..
Mkuu nishakwambia acha kukariri haya madubwasha,nani aliwahi kuwa masikini kwa kutoa sadaka?

We jamaa unaokoteza tu hoja ambazo hazina hata uhalisia,kwanza hata hizo sadaka unazielewa kweli?
 
usiwe unaongea maneno ya matumaini na ya kufikirika hivi unafufukaje huku baada ya miaka 4 wakifukua kaburi lako hawakuti kitu.. unataka ushahidi upi tena.. tangu umezaliwa ushawahi kumuona mtu aliyefufuka!! Duh napata shida sana kukuelewesha sijui nitumie njia gani ..
Angalia sasa hoja yako et "tangu umezaliwa ushawahi kumuona mtu aliyefufuka?"

Huo ndiyo unaita ushahidi kweli? nani kasema kuwa watu wanafufuka hadi uulize kuwa kama nishawahi kumuona mtu aliyewahi kufufuka? nachokijua mimi nikuwa inasemwa kuwa watu WATAFUFUKA na ishaelezwa watu watafufuka kipindi gani,inaonesha unapinga hii imani hali ya kuwa hata huielewi vizuri.

Halafu ndiyo kama nilivyosema Leo sio ajabu kuwa manii yanavyofanyika hadi kupatikana kiumbe na kuzaliwa kwa sababu tunaweza kuelezea jambo hilo kisayansi,ila tunakataa et huyo huyo aliyetokana na manii kuwa atafufuka.
 
Mzungu ana akili sana, ila nacho shukuru binafsi namzidi mzungu kwa kufata misingi ya Afrika.

Moja sitambui Biblia maana Biblia ina ujinga mwingi wa kumpa Mzungu thamani.

Pili nafata Vitu vyenye ushaidi kama Mwl Nyerere na Bob Marley najua walikuwepo sifati history ya matango pori.
Inampaje mzungu thamani?
 
Back
Top Bottom