Ujio wa Yesu na Dini

Ujio wa Yesu na Dini

Hujajibu swali mkuu ndiyo kwanza unazidi kunichanganya kwa kuniambia dini zimeundwa kwa ajiri ya watu weusi na masikini maana utanifanya nianze kuuliza maswali mengi mengine ili nipate uhalisia usemacho.

Nimeuliza kuacha kuamini katika dini na kuamini katika sayansi ndiyo nini? ina maana mwanzoni wazungu walikuwa wakiumwa wanaenda kwenye nyumba za ibada na si hospitali kwa sababu hawakuamini sayansi?

Namaanisha wazungu wengi huamini sayansi mfano ni uwepo wa dunia hata namna ya uendeshaji wa maisha kama nilivyotangulia kusema katika mojawapo ya post juu.
 
Waafrika tuna kazi sana
Maendeleo yanahusu kila jamii ila sie tukiona maendeleo ya waliyonayo wazungu tunatamani nasi tuwe kama wao kwa kuwaiga hadi tamaduni zao,ila kibaya kwa kushindwa kuwa na maendeleo lawama zinatupiwa kwenye dini.
 
Dini ni mojawapo na imechangia kwa kiasi kikubwa
 
Namaanisha wazungu wengi huamini sayansi mfano ni uwepo wa dunia hata namna ya uendeshaji wa maisha kama nilivyotangulia kusema katika mojawapo ya post juu.
Mkuu nakushauri acha kukariri tu hivi vitu visivyo na uhalisia,hizi ni zama sayansi na teknolojia na wote tunaishi hivyo uwe na dini au usiwe na dini.

Ukisema kuna watu wanaamini sayansi na wengine dini basi tusingetegemea kuona waamini dini kwenda hata hospitali maana ni mambo ya sayansi na wao si waumini wa sayansi.
 
Dini ni mojawapo na imechangia kwa kiasi kikubwa
Kwa maana hiyo hata kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja pia wasio amini dini wana maendeleo kiasi kikubwa kuliko wenye kuamini dini?

Hebu fafanua.
 
Mzungu ana akili sana, ila nacho shukuru binafsi namzidi mzungu kwa kufata misingi ya Afrika.

Moja sitambui Biblia maana Biblia ina ujinga mwingi wa kumpa Mzungu thamani.

Pili nafata Vitu vyenye ushaidi kama Mwl Nyerere na Bob Marley najua walikuwepo sifati history ya matango pori.
Unamfuata Mwalimu Nyerere na Bob Marley, yawezekana umepata kuwaona. Lakini utataka watoto wako ambao hawakumuona wamfuate hivyo watabaki na vitabu vya historia kuhusu Nyerere na Marley.
Hata watoto wako watasema Nyerere is a myth, anatukuzwa kwa sababu wanamuona kwenye historia, kama biblia tulivyoipokea.
 
Ukikuta mtu anaamini dini kwa 60% na kuendelea, huyo ana matatizo ya kihisia ama ya kisaikolojia.
Yupo nnayemfahamu, anaamini dini na ana maendeleo makubwa kiuchumi.
Dini haikuzuii kufanya kazi, dini haikuzuii kuwaza na kuona fursa.
 
Usione public figures wanahudhuria ibada ukadhani wanaamini kwenye hayo makitu.Wao wanafanya vile maana wanajua maendeleo yao yanategemea kundi kubwa la watu ambao ni watwana wa dini.Wewe unafikiri mgombea wa urais akisema haamini uwepo wa Mungu atapata kura za kutosha?
 
Mzungu ana akili sana, ila nacho shukuru binafsi namzidi mzungu kwa kufata misingi ya Afrika.

Moja sitambui Biblia maana Biblia ina ujinga mwingi wa kumpa Mzungu thamani.

Pili nafata Vitu vyenye ushaidi kama Mwl Nyerere na Bob Marley najua walikuwepo sifati history ya matango pori.

Yesu Yu Hai. Tubu na kuiamini Injili
 
Hujajibu swali mkuu ndiyo kwanza unazidi kunichanganya kwa kuniambia dini zimeundwa kwa ajiri ya watu weusi na masikini maana utanifanya nianze kuuliza maswali mengi mengine ili nipate uhalisia usemacho.

Nimeuliza kuacha kuamini katika dini na kuamini katika sayansi ndiyo nini? ina maana mwanzoni wazungu walikuwa wakiumwa wanaenda kwenye nyumba za ibada na si hospitali kwa sababu hawakuamini sayansi?

Washa full mkuu , maisha haya sio ya kutafuniwa kila kitu.
 
Io pia ni dini tu cema hujijui
Bob nae alikua na dini hakua mpagani kumbuka.
Kitu ambacho kiliificha kweli ni kua wakoloni walileta dini kwa madhumuni ya mali lakini ukweli wa maandiko yalikuepo na hayabadiriki. Watu wamegundua kweli na ndio wanayo ikimbilia.
Kipindi hcho hata vitabu vya dini hasa biblia ilikua marufuku kuvishika nadhani koroani bado ni marufuku.
 
Huwa najiuliza kilitokea nini hadi watu wakapokwa historia yao.
Wakauziwa huu utapeli unaoitwa dini pamoja na Miungu yake kwa gharama kubwa hata ya maisha yao.

Sasa hivi watu wengi hasa wa nchi masikini ndio wamebaki kuabudu huu utapeli.Hata public figures wasioamini kwenye hayo mambo huwa wanaigiza kuamini ili waonekane wapo pamoja na wafia dini mradi wapate wanachokitaka kutoka kwao.
Yesu hakuwa na uungu kwa namna yoyote ile, alikuwa mtu wa kawaida na alishajifia zamani na kuozea kaburini[possibly aliuawa kwa makosa ya uhaini].
Wanaomsubiri sijui wanasubiri atoke wapi.
Kabla ya kifo chake Yesu alisema angerudi kabla ya kufa kwa watu waliokuwa wakimsikiliza.Cha kushangaza leo ni miaka 2017 hajaonekana popote.Kama kuna mtu anayemsubiri Yesu arudi au anayesubiri siku ya kiama ifike, huyo ni wa kumtibu.
point of correction!hajawahi kuwepo mtu anayeitwa yesu duniani,ni uzushi waliotunga wazungu ili nao wawe na mtu wao wa kuabudiwa kama walivyokuwa wamisri(kemet)...
ni upuuzi kuamini ujinga wa ukristo wanaoutumia wazungu kutawala dunia
 
Hivi kabla ya ukristo wazungu walikuwa na imani gani?
 
Mzungu ana akili sana, ila nacho shukuru binafsi namzidi mzungu kwa kufata misingi ya Afrika.

Moja sitambui Biblia maana Biblia ina ujinga mwingi wa kumpa Mzungu thamani.

Pili nafata Vitu vyenye ushaidi kama Mwl Nyerere na Bob Marley najua walikuwepo sifati history ya matango pori.
Dah, unafuata historia ya mwalimu nyerere.
Hivi alifia wapi vile? Kwa warithi wa Kinjekitile Ngwale ama kwa wadhungu?
Sii ajabu na wewe atahitimishia maisha kwa wadhungu kwa jinsi unavyo waamini.
 
Hivi kabla ya ukristo wazungu walikuwa na imani gani?
hawakuwa na imani yoyote,walipovami misri na kukuta imani ya watu weusi wsliamua kuiba maandko na kutengeneza biblia,uzuri hawakuwa smart sana kwenye kuiga,biblia imejaa contradiction za kijinga jinga sana
 
Duh!
 
Ukikuta mtu anaamini dini kwa 60% na kuendelea, huyo ana matatizo ya kihisia ama ya kisaikolojia.
ukikuta mtu haamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu muumba wa kila kitu,without the shadow of doubt huyo ni mtu ni kichaa
 
Back
Top Bottom