Ujio wa tecno ...android kwa wote

Ujio wa tecno ...android kwa wote

Mkuu sasa hizi zinapatikana hapa bongo mfano hii yenye picha?
maana nimeona kweli tunaibiwa maana vi RAM vya ki.se.nge

Mkuu chief-mkwawa kuna cmu nimeiona Star N9599 ina range $199-$229 + free shiping.Je hii cmu inaweza patikana bongo?

zipo mkuu, mimi sifahamu sana mlolongo wa dar unavyokwenda ila najua kila siku ya mungu watu wanaenda kufungasha china. tafuta sehemu wanapouza clone clone (wale wanaozifata china) then waulize au toa order yako wakienda wakuletee.
 
Mchina aniniboa kwenye RAM tu chief-mkwawa Hivi hizi S4 Clone za ukweli zina RAM kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
mkuu mchina wa ram 256mb anauzwa laki naa hata ingekua laki kamili still ni ghali.

tablet ya inch 7 ya kichina double line na battery 3 (2 ni hot swapable zinatoka) inauzwa dola 45, processor dualcore na ram 512. convert mwenyewe nambie kama huibiwi.

ona daxian wana quadcore dola 99 (around laki na stini)
simu ina ram 1gb, processor quadcore arm 7, camera ya nyuma 8 megapixel na ya mbele 2mp ina gpu ya sgx544 na kioo cha 4.7. sasa nambie mwenyewe specs hizo na za tecno nani anaibiwa

daxian_02.jpg

yani hata ukitaka nilist simu 10 za kichina nalist na zote zitakua quad/dual core za chini ya laki 2.

yote 9, 10 nambie kiwanda cha tecno kiko wapi? nipe hata reference ya wikipedia

Mkuu Hv Ikitoke Nmenunua Bidhaaa Kama Hii Af Ikiwa Na Lugha Ya Kichina Kuna Uwezekano Kuweka Custom Ya English?? Maana Nahs Kama Makampuni Ya China Kama Haya Kupata Custom Ya English Itakua Kazi Hv!!
 
Mkuu Hv Ikitoke Nmenunua Bidhaaa Kama Hii Af Ikiwa Na Lugha Ya Kichina Kuna Uwezekano Kuweka Custom Ya English?? Maana Nahs Kama Makampuni Ya China Kama Haya Kupata Custom Ya English Itakua Kazi Hv!!

labda kampuni ifanye uhuni kuzitoa lugha ila by default zinakua mule mule ndani chakufanya unachange kwa kufata msaada wa screenshot online(maana huelewi kichina)
 
Mfano mzuri mkuu ni huawei y300, nlikuwa naifanyia test nikilinganisha na samsung galaxy S, na ilikuwa better, kuna huawei g700 au g610s zenye bei ya almost 400000 kwa 350000 na ni better kuliko tecno, pia kuna faea f1 yenye nfc

Mkuu umenena huawei ni # nyingine
 
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.

Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.

Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.

Tatizo la y300 chaji kwa siku unachaji Mara 3 kwa matumizi ya kawaida tu
 
Kuna i note mini ya itel the chipest android phone.Hivi hyo Android software Google wanauza?
 
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.

Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.

Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.

Mimi nina Y300, huu mwezi wa tatu tangu niinunue,sijakutana na tatizo hilo.
 
Mkuu chif mkwawa heri yamwaka mimi nilikuwa naomba msaada kwako jinsi ya kujirejest na huduma ya Samsung application maana kila nikiingiza email yangu inaniambia incorrect Pasword na wakati password ninayotumia kwenye email ni ileile naomba msaada mkuu
 
kaka unatakiwa utengeneze samsung account pale hawahitaji email na password yako.

badala ya kulogin we click register halafu fuata maelekezo ukisha register ndo utaeka email na password mpya uliotumia kuregister. pia unaweza kuregister na password ile ile ya email yako
 
Mkuu kati ya matatizo uliyoyataja yanaweza yasi-mate kwetu ss wabongo
Mm kwa upande wa hardware naweza comment iko fair maana ka p3 kangu nakachajiaga kwenye pc na huwa najisahau inadodonka lkn bado kanatwanga mzigo.

kuhusu customer support mm naimani itakuwa ya kutosha hasa kwa sababu kuna preinstalled app kwenye p3 inaitwa callcare...hii ina namba za watu wa kutoa msaada kila nchi zinapouzwa

kwa upande wa charge hii p3 nahisi ilibidi iitwe preview maana ni majanga

Kipendacho rohoooo...ivi unafananisha techno na galaxy duh ama kweli wabongo sisi...ebu angalia kigezo kimoja tu cha Quality kati ivo vitcno venu na Sammy.
 
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.

Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.

Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.

Tatizo la sauti katika Y300 mshaambiwa kama ume-install Viber na WhatsApp kwenye cm yako,uninstall App mojawapo kati ya hzo mbili.Hope u will opt Viber Out.Then Angalia kama tatizo bdo lipo alma VP?!
Ukishindwa,endelea kujichanga....
 
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE

nakuhakikishia hizi sio simu... Na siwezi kuzinunua hata iweje labda siku moja nione wamebadilika kwenye hardware wakatumia mambo ya maana... Mfano kioo kiwe corning gorilla.. N.k. Hizi simu ukiongea kwa zaidi ya dakika 15 zinapata moto,na inaanza kukatakata kama vile network ndio shida.. Kumbe tatizo simu. Simu huwezi kupata updates kutoka kwa manufacturer... Mfano nokia Lumia last year wameongeza kitu kinaitwa NOKIA AMBER juu kwa juu! unainunua simu iko tofauti lakini ma updates ya ukweli unaiona simu mpya kila siku.. We nunua tecno halafu baada ya miezi mitatu unaiona haina maana! Ikidondoka kwisha habari yake.. Kioo pasuka, na shida zengine kibao.. Labda nimnunulie mtu ila sio yangu!
 
Back
Top Bottom