Ujio wa tecno ...android kwa wote

Ujio wa tecno ...android kwa wote

Wataalam tufungueni tu,ili tujielewe
"Vox popoli vox dei"
 
Nadhan Chief unaweza ukanisaidia, Naitafuta sana LENOVO A830, Em nijuze ntaipata wap na ni kwa Tsh ngap..

Sijui kama hii sim ina utata wowote, mana kwenye Review zake nimeona minor complain tu.

Thanx

mdahavyose@hotmail.com

Order online
 
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..

mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.

kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.

sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.

amkeni amkeni amkeni wabongo

Mkuu kati ya matatizo uliyoyataja yanaweza yasi-mate kwetu ss wabongo
Mm kwa upande wa hardware naweza comment iko fair maana ka p3 kangu nakachajiaga kwenye pc na huwa najisahau inadodonka lkn bado kanatwanga mzigo.

kuhusu customer support mm naimani itakuwa ya kutosha hasa kwa sababu kuna preinstalled app kwenye p3 inaitwa callcare...hii ina namba za watu wa kutoa msaada kila nchi zinapouzwa

kwa upande wa charge hii p3 nahisi ilibidi iitwe preview maana ni majanga
 
tatizo ni lenovo huku africa hana matawi na wafanyabiashara wetu hawazifungashi

Ntajaribu kuagiza nione inakuwaje, am still researching na online resellers kwa kuwa wa kuaminika hafanyi shipping bongo
 
Nauza tecno p3 iko vizuri ni adroid na inakaa na chaji balaaa call me 0657040282
 
mambo samsung bwana anayesema kwingine ni muongo , michina hata siiamini hata kidogo
 
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..

mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.

kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.

sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.

amkeni amkeni amkeni wabongo

mkuu mbona tecno wana app ya callcare unapata namba za support center za agents wao hapa bongo na nchi nyingine au wewe ulishika ipi?

Hardware iko poa nimedodosha si chini ya mara 7 Na ni ikiwa inachajiwa na cable kwenye meza ya pc.

Hizo facts za kuibiwa ulizotoa not yet convincing to me... nikiangalia ndo cheapest smartphones i.e p3,n3,l3,d3,b3 etc nisijue wanaonunua n7 na f7 lkn sisi wa category tajwa za 3 series wala hatuibiwi.
 
Tecno ni ya ukweli mi natumia p3 nishaidondosha zaidi ya mara kumi na haijanisumbua kitu chochote na ukiacha hivyo ukinunua unapewa warant ya miezi kumi na mbili unataka upewe nn tena????
 
mkuu mbona tecno wana app ya callcare unapata namba za support center za agents wao hapa bongo na nchi nyingine au wewe ulishika ipi?

Hardware iko poa nimedodosha si chini ya mara 7 Na ni ikiwa inachajiwa na cable kwenye meza ya pc.

Hizo facts za kuibiwa ulizotoa not yet convincing to me... nikiangalia ndo cheapest smartphones i.e p3,n3,l3,d3,b3 etc nisijue wanaonunua n7 na f7 lkn sisi wa category tajwa za 3 series wala hatuibiwi.

Build quality si mbaya kiivyo ila inaonekana cheap, nlipata kuijaribu n3 kama siyo p3 ina resolution mbovu, iko slow in terms of response na wireless yake haina nguvu at all
 
mkuu mbona tecno wana app ya callcare unapata namba za support center za agents wao hapa bongo na nchi nyingine au wewe ulishika ipi?

Hardware iko poa nimedodosha si chini ya mara 7 Na ni ikiwa inachajiwa na cable kwenye meza ya pc.

Hizo facts za kuibiwa ulizotoa not yet convincing to me... nikiangalia ndo cheapest smartphones i.e p3,n3,l3,d3,b3 etc nisijue wanaonunua n7 na f7 lkn sisi wa category tajwa za 3 series wala hatuibiwi.

mkuu mchina wa ram 256mb anauzwa laki naa hata ingekua laki kamili still ni ghali.

tablet ya inch 7 ya kichina double line na battery 3 (2 ni hot swapable zinatoka) inauzwa dola 45, processor dualcore na ram 512. convert mwenyewe nambie kama huibiwi.

ona daxian wana quadcore dola 99 (around laki na stini)
simu ina ram 1gb, processor quadcore arm 7, camera ya nyuma 8 megapixel na ya mbele 2mp ina gpu ya sgx544 na kioo cha 4.7. sasa nambie mwenyewe specs hizo na za tecno nani anaibiwa

daxian_02.jpg

yani hata ukitaka nilist simu 10 za kichina nalist na zote zitakua quad/dual core za chini ya laki 2.

yote 9, 10 nambie kiwanda cha tecno kiko wapi? nipe hata reference ya wikipedia
 
Mkuu tecno ram zake zote n 512
 
Mkuu tecno ram zake zote n 512

most of n3 zina ram 256mb na chache zina 512,

nenda settings then app manager then runing angalia kwa chini utaona ram inayotumika na iliobakia.

hio ni case ya n3 lakini haipo peke ake tecno t1 pia ina ram 256mb tena hii ndo balaa atleast n3 ina processor 800mhz hii ina 600mhz tu.

hatuishii hapo mkuu t1 ana muendelezo wake t3 naye still akaendelea vile vile kuwa na ram 256mb.

mkuu still unakataa hakuna tecno za 256mb ram?
 
kwa matumizi yangu hainifai, niliinunua kama week mbili zilizopita ila charge ndo kasheshe..... mda wote na charge mkononi kwa sasa nimeibwaga...............
 
Mfano mzuri mkuu ni huawei y300, nlikuwa naifanyia test nikilinganisha na samsung galaxy S, na ilikuwa better, kuna huawei g700 au g610s zenye bei ya almost 400000 kwa 350000 na ni better kuliko tecno, pia kuna faea f1 yenye nfc

Co watu wote wanawexa kuafford kununua cm ya laki 3 na kuendelea so waachen tecno nao wawatoe wstu ushamba kwa kushusha bei ata kama atakaa nayo mwaka inatosha kabisa
 
mkuu mchina wa ram 256mb anauzwa laki naa hata ingekua laki kamili still ni ghali.

tablet ya inch 7 ya kichina double line na battery 3 (2 ni hot swapable zinatoka) inauzwa dola 45, processor dualcore na ram 512. convert mwenyewe nambie kama huibiwi.

ona daxian wana quadcore dola 99 (around laki na stini)
simu ina ram 1gb, processor quadcore arm 7, camera ya nyuma 8 megapixel na ya mbele 2mp ina gpu ya sgx544 na kioo cha 4.7. sasa nambie mwenyewe specs hizo na za tecno nani anaibiwa

daxian_02.jpg

yani hata ukitaka nilist simu 10 za kichina nalist na zote zitakua quad/dual core za chini ya laki 2.

yote 9, 10 nambie kiwanda cha tecno kiko wapi? nipe hata reference ya wikipedia

Mkuu sasa hizi zinapatikana hapa bongo mfano hii yenye picha?
maana nimeona kweli tunaibiwa maana vi RAM vya ki.se.nge
 
Mkuu chief-mkwawa kuna cmu nimeiona Star N9599 ina range $199-$229 + free shiping.Je hii cmu inaweza patikana bongo?
 
Co watu wote wanawexa kuafford kununua cm ya laki 3 na kuendelea so waachen tecno nao wawatoe wstu ushamba kwa kushusha bei ata kama atakaa nayo mwaka inatosha kabisa

si nimeskia hio y300 ni 195,000??
 
Back
Top Bottom