Ujio wa tecno ...android kwa wote

Ujio wa tecno ...android kwa wote

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
217
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE
 
hivi jamaa wana ubia na Google? Au being open source kila m2 tu anabeba na kuweka kwake? Maana Hawa watu sio mda mrefu zitakua identical na Samsung kila kitu!
 
Tecno L3
Tecno-L3.png
Full features of Tecno L3:
► Dual-sim support
► 2G/3G Network support
► Runs Android 4.1 (Jelly Bean)
► 3.5″ Capacitive Touchscreen (320×480 HVGA screen resolution)
► 118x63x12.9mm Body Dimension
► 1GHz Processor
► 4GB ROM
► 512MB RAM
► Supports microSD up to 32GB
► 3.0MP Rear Camera with; 0.3MP front-facing Camera
► Connectivity: Bluetooth, USB, Wi-Fi
► Facebook, Gmail, Google Maps pre-installed
► G-sensor, Light sensor, Proximity sensor
► FM Radio, Voice Recording
► 2400mAh Battery.
 
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..

mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.

kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.

sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.

amkeni amkeni amkeni wabongo
 
Asante kwa Taarifa Mkuu !!
 
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE
Kwani ndio inauzwa bei gani hiyo L3
 
Mkuu chief-mkwawa cmu za ZTE na Lenovo unazichukuliaje na zpo Tanzania?
 
zte zipo mkuu za kumwaga tu, ila lenovo sjaziona.

lenovo wana simu kali sana sasa hv na kwa china ndo no 1. sasa hv wanauza simu nyingi kuliko hata computer

mfano simu kama a800 4.5 inch screen, 1.2 dualcore processor na ram 512 inapatikana as cheap as 260,000

na ile ya intel k800 sasa hv pia imeshuka sana chini ya laki 4 wakati juz juz tu ilikua ni flagship.

nafkiri wanaoenda kufungasha china inabidi waziangalie hizi simu
 
Wachina majanga tu.. mimi nina huawei y300 inanisumbua sana nikiwa naongea na mtu mara nyingi huwa sauti inakata sisikiki.

Na hata nilivyopitia gsmarena.com watu wengi naona wamecomment tatizo hilo.

Hapa najichanga ninunue s3 yangu nitulie.
 
Tecno walianza kama utani ambapo watu walianza kuwaelewa walipotoa tecno n3 ....baadaye wakaja na tecno p3 amabapo mpk sasa bado ipo vizuri sokoni... ila nimeanza mimi binafsi kuwakubali kwenye tecno l3 ambapo kusema kweli simu imesimama sana hasa suala la chaji .. pia bei yake iko poaa ...ina space ya kutosha ..imekuja na games yani ilove that phone... tecno m3 iko poa ila kwenye chaji kidogo sijawa kubali ... p3 wako poa kwenye muonekano ila ndani hawajabamba sanaa.... nawtakia mda mwema ..kamata tecno l3 furahia SMART PHONE

bei gani mkubwa
 
zte zipo mkuu za kumwaga tu, ila lenovo sjaziona.

lenovo wana simu kali sana sasa hv na kwa china ndo no 1. sasa hv wanauza simu nyingi kuliko hata computer

mfano simu kama a800 4.5 inch screen, 1.2 dualcore processor na ram 512 inapatikana as cheap as 260,000

na ile ya intel k800 sasa hv pia imeshuka sana chini ya laki 4 wakati juz juz tu ilikua ni flagship.

nafkiri wanaoenda kufungasha china inabidi waziangalie hizi simu

Mkuu lenovo a800 imeshashuka zaidi international price saa ivi inachezea kwenye 180000, ila juzi kuna mtu nlimuona anauza facebook 500000 ilibidi nimshushie majungu ya kutosha
 
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..

mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.

kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.

sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.

amkeni amkeni amkeni wabongo

Mfano mzuri mkuu ni huawei y300, nlikuwa naifanyia test nikilinganisha na samsung galaxy S, na ilikuwa better, kuna huawei g700 au g610s zenye bei ya almost 400000 kwa 350000 na ni better kuliko tecno, pia kuna faea f1 yenye nfc
 
zte zipo mkuu za kumwaga tu, ila lenovo sjaziona.

lenovo wana simu kali sana sasa hv na kwa china ndo no 1. sasa hv wanauza simu nyingi kuliko hata computer

mfano simu kama a800 4.5 inch screen, 1.2 dualcore processor na ram 512 inapatikana as cheap as 260,000

na ile ya intel k800 sasa hv pia imeshuka sana chini ya laki 4 wakati juz juz tu ilikua ni flagship.

nafkiri wanaoenda kufungasha china inabidi waziangalie hizi simu

Nadhan Chief unaweza ukanisaidia, Naitafuta sana LENOVO A830, Em nijuze ntaipata wap na ni kwa Tsh ngap..

Sijui kama hii sim ina utata wowote, mana kwenye Review zake nimeona minor complain tu.

Thanx

mdahavyose@hotmail.com
 
mkuu mi nimeshashika tecno karibia zote zipo cheap kama michina mengine ila tu ni overpriced kila siku nawambia
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
mnaibiwa
amkeni wabongo kama unaamua kwenda njia ya kichina kuna simu nzuri za kichina zina specs ya kufa mtu kwa bei cheeee..

mfano mzuri ni galaxy s4 clone unaipata as cheap as 270,000 ila ina specs kubwa kuliko phantom inayouzwa 450,000 na kitu.

kuna simu kama xiami red rice quadcore na hd screen as cheap as 130 usd(kama laki 2 na 20) japo haifanyi kazi bongo ila natoa tu mfano jinsi mchina anavyotakiwa awe.

sasa bongo unauziwa mchina sawa na original halafu unakomaa kabisa kuwa zinafanana na galaxy. yes sawa zinafanana na galaxy sababu zote ni android lakini hardware je? ukidondosha inapona? ukiwa na tatizo unapata suport toka kwa manufacture? nyengine hata kuingia recovery mode haiwezi siku ikijilock unahaha huwezi kuireset.

amkeni amkeni amkeni wabongo
nashukuru mkuu, unafeeling kama zangu kuhusu hasa hizo simu za kichina eti kisa android os, na nyingi za simu hizi zimekuwa zinabebwa na android os
 
Mkuu lenovo a800 imeshashuka zaidi international price saa ivi inachezea kwenye 180000, ila juzi kuna mtu nlimuona anauza facebook 500000 ilibidi nimshushie majungu ya kutosha

tatizo ni lenovo huku africa hana matawi na wafanyabiashara wetu hawazifungashi
 
Nadhan Chief unaweza ukanisaidia, Naitafuta sana LENOVO A830, Em nijuze ntaipata wap na ni kwa Tsh ngap..

Sijui kama hii sim ina utata wowote, mana kwenye Review zake nimeona minor complain tu.

Thanx

mdahavyose@hotmail.com

estimated price 300,000 hadi 350,000 pakuipata sipajui bongo
 
Back
Top Bottom