Ujio wa MIEZI 2 ( 2 MOONS) 27 August..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa MIEZI 2 ( 2 MOONS) 27 August.....

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by De Javu, Aug 24, 2010.

 1. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo kuna mdau ameniletea email kuhusu ujio wa "miezi 2". Nimeona nishee hizi nyuzi na wapenzi wa kuangalia anga wakati wa usiku, labda watachangia ni muda gani kwa maeneo kama Tz na sehemu mbali mbali duniani itawezekana kuona ujio huu.
  Taarifa yenyewe ipo hivi, siku ya tarehe 27 August saa 6:30 za usiku (huyu mdau yupo Marekani ya juu); sayari ya Mars itakua karibu sana na dunia yetu umbali wa maili 34.65 milioni. Sayari ya Mars itaweza kuonekana wazi wazi kwa kung'aa zaidi kama mwezi, hali ambayo kwa baadhi ya maeneo utaweza kuona mwezi na hii sayari kama vile kuna miezi 2 (2 moons) imekaribiana. Hali kama hii itatokea tena mwaka 2187. Kumbuka si kila sehemu ya dunia utaweza kubahatika kuona, ni kama vile kupatwa kwa jua au mwezi.
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  I will wait for the next occurrence! 2187???
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Sinahakika ila nimeisearch in vai naletewa mengine tofauti. Labda ni nyepesi nyepesi!
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Two Moons On August 27 - The Latest 'Old' Hoax!

  Hata mimi niliwahi kuletewa message yenye kufanana na hiyo... Email ilikuwa na ujumbe huu hapa chini:

  Kitu kama hichi kiliwahi kutokea kwanza katika Julai 2003, na kisha tena 2005 na 2006. Nina hakika watu wengi duniani walisubiri.

  Na sasa tena email inakuja kuwa ili tukio litatokea tarehe 27 Agosti, 2010, wakati si kweli. huu ni uongo unao sambazwa kwenye email ili kuwakeshesha watu bila sababu ya msingi. Huu ujumbe ni wa kuhupuuza tu.
   
 5. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sio mara ya kwanza nasikia hiki kitu. Na lst time nilikesha siajona miezi miwili wala nini!
   
Loading...