Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
Kama utakuwa unaangalia angani upande ule wa Mashariki utaweza kuuona mwezi ukiwa na umbo kubwa au tuseme mwezi mkubwa ambao huwa unaitwa 'Full moon'.
Ipo wazi kuwa full moon hutokea kila baada ya mwezi kumaliza nusu ya mzunguko wake katika dunia yetu ambapo huwa ni kama masiku 14 tu basi huweza kuona hali kama hiyo katika mwezi wetu.
Mwezi huwa unapokea mwanga wa Jua katika eneo lake karibu robo tatu ya mwanga wa Jua hufika katika mwezi na hupelekea mwezi kuonekana ukiwangaza kwa mwanga mkali sana huku duniani.
Kwenye tarehe 22-23 mwezi utaweza kumaliza mzunguko wake mzima katika kuzunguka dunia yetu.
Kwa wale wenye Imani zao mbalimbali huwa wanautumia au wanatumia kipindi kama hichi cha mwezi kuomba ili mikosi nuksi na kukaribisha baraka katika Maisha yao kulingana na Imani zao.
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu
AstronomyKiswahili