Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Unajisikia Kama ulipuke fulani ivi kwa kumeza bomu.
Yaani wewe uliyeongea ndiye mwenye chuki na umefundishwa kumchukia asiyefungamana na unachoamini wewe ,unamuona Kama ataenda motoni. Muache tu aende motoni kwani wewe utapoteza Nini. Wewe kale pepo
 
Hili sitaki mtu aamini au Aiamini Lakini kuna siku tulikua Quatar mwanadiplomasia mmoja wa moja ya nchi za Ulaya Mashariki akatuambia “ nchi yenu ina mahusiano maalum na UAE “ … akasema wana Ukoo wa ufalme walimuambia Tanzania ni kama moja ya mataifa yanayounda UAE … sasa nikajiuliza ni kwa ajili ya uwepo wao Loliondo au ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu …?!?!??
tutajie jina la huyo mwanadiplomasia wa ulaya mashariki aliyesema Tanzania ni sehemu ya Uarabuni tumjue.

Kwa hii comment yako basi nimehitimisha hata hiki ulicholeta hapa ni uzushi mtupu.
 
Ni sawa kuhoji, Huenda DPW ikakosa wafanyakazi wazoefu iwapo wengi wataamua kubaki serikalini hivyo wakaamua kutanua wigo wa wafanyakazi wa bandari walio tayari kuamia DPW
Si mpaka wapate ajira DPW.......sio wote watapata bahati hiyo. Gati kuanzaia 0 mpaka 7 zimekwenda DPW. :D
 
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World

Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati

Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DpW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi … ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana

Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea ??!?!

Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
uongo wa nini?
 
Kwanza nianze kumshukuru Rais Samia kwa kuleta DPW
Pili wakati wa uchambuzi mliambiwa kuwa kwa mkataba ule DPW amekabidhiwa sehemu zote za majini na nchi kavu hivyo bandari zote za majini yeye ndio mmiliki wa kila bandari ndiye anayeamua ..
Sasa wakati wa mjadala ule mkawaona wale waliokuwa wanapinga ni wajinga na wanampiga muislam na waislam sasa kazi ni kwenu
 
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World

Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati

Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DpW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi … ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana

Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea ??!?!

Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Hata zikiwemo Tanga na Mtwara si pwani yote.
Kuhusu usalama wewe ni nani unayetahadharisha serikali .
Kwani DP wanahusika vipi na usalama wa Tanzania.
Usalama wa Tanzania haupatikani kwa kuwa nchi dhaifu kiuchumi na kukalia vitega uchumi tusicyoweza kuviendeleza
 
Si mpaka wapate ajira DPW.......sio wote watapata bahati hiyo. Gati kuanzaia 0 mpaka 7 zimekwenda DPW. :D
Ukiachana na nafasi za juu ambazo si zote DPW watazichukua kuna hizi za kati na za chini. Naamini zipo.

Tatizo ni pale afisa wa serikali ushazoea kuwa boss kwenye kitengo ukiwa na kazi with target ambayo usipoitimiza haina madhara makali ya moja kwa moja.

Sasa unaambiwa nenda DPW kupewa boss ambaye anataka ripoti kila siku na anakufanyia perfomance review kila mwezi. Nani atataka kwenda? Huenda wengi wameopt kubaki serikalini.
 
Ni sawa kuhoji, Huenda DPW ikakosa wafanyakazi wazoefu iwapo wengi wataamua kubaki serikalini hivyo wakaamua kutanua wigo wa wafanyakazi wa bandari walio tayari kuamia DPW
Wabaki Serikalini kufanya kazi gani Mkuu??? Maeneo yao ya kazi sindiyo hayo yaliyobinafsishwa kwa DPW?
 
Boss, Serikali haikosi pa kupeleka watumishi, Mtumishi wa serikali ataenda popote serikali inapotaka. Hata halmashauri huko kama hakuna bandari tena. Ukikaa vibaya unaweza pangiwa shule ukawe mhasibu.
 
Nani kakudanganya? Yani DpW akose wafanyakazi watu walivyo jaa mtaani hivi!
Kama priority ni walio na uzoefu bandarini ili kuepusha gharama ya usaili na training program za fresh from mtaani inawezekana kabisa wakakosa iwapo wengi wataopt kubaki serikalini.
 
Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Mtu ambaye akilala akiamka, akitemvea, akikaa, akiongea, yaaan kila kitu ni udini udini tu ndo huongoza kwa ulimbuken wakufikir. Hana hoja wala kujitetea asiiguse dini na hawa ndo shetan anawataka. Amesahau haki za binadam wenzake yeye amekalia kiti cha dini dini dini sawa mwana dini makafir ngoja tutulie
 
Ukiachana na nafasi za juu ambazo si zote DPW watazichukua kuna hizi za kati na za chini. Naamini zipo.

Tatizo ni pale afisa wa serikali ushazoea kuwa boss kwenye kitengo ukiwa na kazi with target ambayo usipoitimiza haina madhara makali ya moja kwa moja.

Sasa unaambiwa nenda DPW kupewa boss ambaye anataka ripoti kila siku na anakufanyia perfomance review kila mwezi. Nani atataka kwenda? Huenda wengi wameopt kubaki serikalini.
Hapo kwenye perfomance review ndio sehemu sahihi ya wao kubaki serikalini kwa kweli :D
 
Back
Top Bottom