Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,535
- 8,620
- Thread starter
- #21
Kama una ndugu anafanya bandari za Mtwara na Tanga uliza nao wamepewa Tangazo ; sasa kama ni dar lot tatu tu kwanini kuwatangazia hadi wa mikoani ?Hii taarifa umetoa wapi ya DP World watapewa Tanga na Mtwara?🤔