HahaaaaaaaaKo ulitaka umtafunee bureee?? Piga nyetoo.
Hata baby care enyewe dukani unanunua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa style hiyo mkuu tatzo wanawake mnatangaza njaa mapema sana swala la kusaidiana lipo ila sio mnaanza kuombana mapema hivo wakati ndio hata sijakutongozaKo ulitaka umtafunee bureee?? Piga nyetoo.
Hata baby care enyewe dukani unanunua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuachie sisi hawahawa wanawake wa kiafrika, ndo wanawake mungu aliyetujaalia tuwe nao, we nanda kaoe wazungu wako.Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo
Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba
Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku
Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..
Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato
Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua
Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni
1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana
[emoji1545] Sina Ganda Wala risasi[emoji1545]
Vipi mkuu na hali zao kwenye ndoa.
Mwanamke wa kiafrika kwangu ataendelea kuwa mwenye thamani siku zote. hayo si mambo ya kufanya uwasifiwe wao wanawake.
Wanawake wa kimarekani kukuita mume wangu hicho ni kipengele.
Kuwa ana wajibu wa kupika kwako si lazima akupigie.
Ana uhuru wa kufanya anachotaka muda wote anaotaka bila wewe kuingilia maamuzi yake.
Marekani ndoa ni ngumu tabia za wanawake ni ngumu sana, ndomana wanaume wengi wanaoa wakiwa na miaka 45 na kuendelea. wengine talaka wengine hawanaga kabisa story za ndoa. ndoa ni stress.
Wanawake wengi hawajuwi kupika.
Alafu achane story za kusema wanawake wa huku hapendi hela. hizo story za magazeni na muvi.
Wanawake wengi na asilimia kubwa kunwa zaidi wanataka uwe na hela. ili umshawishi unatakiwa uwe na gari nzuri ataamini una hela.
Wanawake wa Marekani wanapenda sana travelling, hapo anapaswa awe na mume mwenye vicent.
Mwisho wa siku mjue kuna walioishi vijiji ndo hawana mambo mengi na mji walio wengi wana mambo mengi.
Huwezi kudate na mtoto mwenye maisha mazuri wewe ukiwa broke hilo sahau labda itokee zari.
Wengi mnaodate nao huko Africa na broke haoa Marekani au ulaya.
Why people ana sababu tatu za kudate na mtu mweusi.
Moja ikiwa huyo bibie ni broke, mnaweza kudate
Mbili. ni wale mabonge au nzuri mbaya ambao wazungu wenzao hawapendi mnaweza kudate.
tatu ni kutaka mtu ambae anaweza kumcontrol, cos anajua kabisa black men wanapenda white girls. so anakuwa huru na kumcontrol black man kuliko white man.
NB: wanamke wa kiafrika kuringa ni suna huwezi kumfananisha na hao likija swala na ndoa.
Hehehehej sawa Sasa mtaalamuTamaduni ndio sababu inayofanya uwepo wa tofauti ya mtindo wa kimaisha kati ya watu wa eneo moja na lingine, ukifananisha waafrika wanaoishi afrika ni tofauti na waafrika au whites waliokulia nje ya afrika kitamaduni,na tutambue tamaduni ndio huleta utofauti namna ya kuishi, kula, kazi hata mahusiano mpaka ndoa.
Wenzetu kwenye mahusiano hawana mizinga hata outings kila mmoja anajitegemea ila kwetu hilo halipo na halikwepeki lazima utoboke, lakini sote tukiingia ndoani wanaume sisi ndio main provider halikwepeki.
Nimebahatika kuwa na foreigners watatu nyakati tofauti nili experience mambo tofauti na hawa wa kikwetu ila laiti kama ningeendekeza kutoka na foreigners ningesahau kuhonga kabisa.
Maisha yanaenda kasi sana, sheikh wewe pambana tu hakuna namna kila shetani na mbuyu wake.
Kusalit ni kwa wote na swala la kutokujali utu iyo inaeleweka utu ni kitu, hata kwenu mwenye pesa ndo ananyenyekewa.Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo
Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba
Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku
Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..
Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato
Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua
Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni
1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana
[emoji1545] Sina Ganda Wala risasi[emoji1545]
uzuri mnatoa wenyewe, nadhani sasa muache upuuzi wanaume.Hulka ya kahaba (prostitute) kudai hela kwa kigezo cha mapenzi, ni wavivu wa kujitafutia wanachosingizia ni jukumu la mwanaume kumtunza mwanamke kama vile wao watoto, wazee au walemavu, hii falsafa ya kuhudumiwa chanzo chake ni ukahaba tu, wanawake wa kiafrika bibi zetu walikuwa wanalima wanachunga wanafinyanga vyungu makapu nk nk nk hawakuwa wanasubiriwa kuhudumiwa, hii ya kuhudumiwa haipo Afrika haipo Marekani haipo Ulaya haipo Asia ipo ktk ukahaba (prostitutes) tu
Tuko wengi sana Me aina hiyo, kumbuka Me/Ke bora ni matokeo ya Wazazi wao walivyokuwa wakiishi katika misingi yao kwa mila, desturi na tamaduni kimaadili.Wanaume wa aina yako wamebaki wachache mno duniani... heshma kwako[emoji109][emoji120]
Umeongea kiume sana[emoji123]
Je, brake zimeharibika?Number 6[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]imekaaje
Kwahiyo ukimgharamikia Kila kitu ndio hutakuja kupigwa tukio ?Sasa km mwanamke analipia bill, naul anatumia yake, kodi ya apartment analipia yeye, kwann amnyenyekee mwanaume??
Hata hapa Africa mwanamke anayefanya hivyo, hawezi kumnyenyekea mwanaume wake.
Nenda pale Rita ukaone Kasi ya talaka zinavyoongezeka Kila sikuNdo maana ndoa zao hazidumu..
Tanzania we consume one onether....
Mkipigwa matukio kwa nini mnalalamika? NyambafuUjinga ni hao wanawake kujinunulia vitu
Sisi wajanja tunanunuliwa na kutunzwa