Ujinga wa Wanawake wa Kiafrika

Kujamba kumeingiajw hapo?
 
Hahaha
 
You make sense out of this. thanks
 
Huku Afrika mnataka mwanamke asisome wala asifanye kazi. Akiolewa akae tu nyumbani apike na kupakua.

Leo hii unawaponda wakati unajua kabisa kwamba mfume wenu dume mliouanzisha wanaume ndo imepelekea wakawa hivyo.

Tukibadikika na kuendana na dunia jinsi ilivyo bado mnatusema wanawake wa sasa hivi sio kabisa bora wa zamani.

Boya sana wewe.
 
Sasa km mwanamke analipia bill, naul anatumia yake, kodi ya apartment analipia yeye, kwann amnyenyekee mwanaume??

Hata hapa Africa mwanamke anayefanya hivyo, hawezi kumnyenyekea mwanaume wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Point hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.
Kama kwenye Ndoa ni sahihi kuhudumiwa.
Sasa si uoe, ili umuhudumie mkeo, unataka umfuje binti wa watu buree, afu ukaoe mwingne na umpe huduma??

Uzinzii na umalaya ndo tatizoo.
 
Ko ulitaka umtafunee bureee?? Piga nyetoo.
Hata baby care enyewe dukani unanunua.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa km mwanamke analipia bill, naul anatumia yake, kodi ya apartment analipia yeye, kwann amnyenyekee mwanaume??

Hata hapa Africa mwanamke anayefanya hivyo, hawezi kumnyenyekea mwanaume wake.

Sio kwamba yeye anataka hvyo ila niseme ni mfumo ambao umetokana na tabia zao.

Ndomana wanajikuta wanalipa ila si kwamba hawawish kuwa na mume ana muhudumia.

Tabia zao zilivyo kupata mume wa hvyo ni ngumu.

Mwanaume akioa mke ambae anampkia atakua i am lucky

Kama wewe ni mwanaume na unataka heshima ya Ndoa lazima uwe na mwanamke wa Kiafrika.

Sasa hayo matumiz kwake yasikufanye uone ni mzigo kwako ila tu ujuwi ana mchago gani katika maisha yako.

Kufua, lea watoto, Pika, nk… ni kama kubwa sana ambazo mwanamke wa afrika anastahili matunzo au yeye kuwa tegemezi kwako.

Maana ukitaka ya kizungu huna Ndoa
 

Wanaume wa aina yako wamebaki wachache mno duniani... heshma kwako👊🙏
Umeongea kiume sana💪
 
daah sasa hiyo no 6😹😹

sikia mkuu njia pekee ya kuepuka hayo yote ni usijiusishe nao hawa wanawake wa kiafrika ni shida.....ukiwa na hamu we kanunue malaya tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…