Ujinga wa utotoni

dah... Maji yalikuwa ya shida kipindi cha nyuma. Mabek 3 walikuwa wanaenda chota maji na ndoo za chuma zile,tena mbali, sisi wadogo tunaenda na vidumu. Nlishuhudia bek3 akimegwa live. Bora nsingeangalia!
 
dah... Maji yalikuwa ya shida kipindi cha nyuma. Mabek 3 walikuwa wanaenda chota maji na ndoo za chuma zile,tena mbali, sisi wadogo tunaenda na vidumu. Nlishuhudia kwa kuchungulia bek3 akimegwa live. Bora nsingeangalia!
 
Jumatano siku ya ukaguzi shuleni
Jumanne usiku nasugua malapa na gunzi
Naanika karibu na mafiga .. asubuhi naoga
Halafu natembea peku mpaka shuleni .
Sababu ya vumbi staki yachafuke .
Navaa malapa kengele ya mstarini ikisha
gongwa..

Madam hiv ukaguzi ilikuwaga jumatano au alhamisi, hebu niweke sawia hapo
 
Mie nilikuwa naogopa sana wanyonya damu, duuuuuuuu! kama kulikuwa na sinema kwenye hall la Tanesco Muungano peke yangu nilikuwa siendi kabisa mpaka mabroo wawepo ndo tunaenda pamoja
 
dah... Maji yalikuwa ya shida kipindi cha nyuma. Mabek 3 walikuwa wanaenda chota maji na ndoo za chuma zile,tena mbali, sisi wadogo tunaenda na vidumu. Nlishuhudia kwa kuchungulia bek3 akimegwa live. Bora nsingeangalia!

Pole mkuu nna uhakika hiyo picha haitatoka kichwani hadi umauti wako. Na ndiyo ubaya wa kuwapeleka watoto maeneo ya kikubwa hayo, kuna mengi hubakia kichwani mwao hadi wanapozeeka
 
Nilipokuwa mtoto nilikuwa ninaogoa sana ule mwezi mkubwa wa njano, majira hayo yalipokuwa yanafika nilikuwa nina adabu sana kwani nilikuwa nikikosea tu ninafungiwa nje dk chache tu kama adhabu kwa sababu waliijua weakness yangu, kilio nilichokuwa ninakiangusha hapo siku hizi nikikumbuka nacheka sana.

Ucheki hapa lakini, unatisha ee
View attachment 41095

Hebu wekeni wazi ujiinga wenu ulikuwaje?

Ulikuwa unaufananisha na kitu gani hasaaa!
 
Pole mkuu nna uhakika hiyo picha haitatoka kichwani hadi umauti wako. Na ndiyo ubaya wa kuwapeleka watoto maeneo ya kikubwa hayo, kuna mengi hubakia kichwani mwao hadi wanapozeeka

acha tu mdau, nliona vitu vikubwa kuliko umri.
Afu alimegwa bila ndomu! Kwa kweli nlikuwa nashangaa anamfanyaje dada(bek3), coz it was standing doggie style.
 
Mi nilikua naogopa kuangalia nyuma kwenye gari ya baba. Nilifikiri ukiangalia nyuma tu gari ina reverse! Mambo ya gia sikua nayajua
 
dah... Maji yalikuwa ya shida kipindi cha nyuma. Mabek 3 walikuwa wanaenda chota maji na ndoo za chuma zile,tena mbali, sisi wadogo tunaenda na vidumu. Nlishuhudia kwa kuchungulia bek3 akimegwa live. Bora nsingeangalia!

huu sio ujinga, ni kisomo cha maisha ulipata.
 
Sis kwetu huwa tunazika maeneo ya nyumbani bibi yangu alifariki mi nikiwa mdogo kivumbi ilikuwa kuangalia kaburi nilikuwa naogopa mpaka nikaja mjini kuanza shule
 
Kawaida Nilikuwa nikitumwa kununua vitu kwa jumla mfano mchele,unga,n.k. Halafu nampa mbebaji sh 200 kwa kila kiloba lkn siku moja niliona nijaribu kubeba ili nichikichie nikatwishwa cha kilo 50 wakati huo niko na 14yrs lkn nilikomaa Mpaka home kufika hoi nilikitupa huko na kwenda kulala shingo iliniuma kweli mpaka nikapata homa kwa ajili ya sh 200.
 
Mi, nilikua nikiingia bafuni siogi na nawa miguu najilowesha maji sehem zinazooneka, ukinigusa mgongo wa motoo, maza akanigundua hicho kibano sitasahau.

Mhm, ndo maana hata ile siku ulikuwa na kiharufu flani hivi...
 
Nilikuwa nikinunuliwa viatu navivaa usiku then cvui mpk asbh yaani nalala nikiwa nimevivaa,.
 
Mimi nakumbuka nilikuwa nikinunuliwa nguo za sikukuu kila siku najaribu kwa kuzivaa kiasi kwamba hadi sikuku ikifika zinakuwa hazitamaniki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom