'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

State must intervin makert wher nesessary by simth in political economy and free makert
 
Huyu Naye !!!!😢😢😢
 
Huu mfumo unao utetea ni wa kibebari( capitalism) ambao nia yake ni ovu wa kuitenga serikali isisikie kilio na maumivu ya wananchi wake. Ni mfumo wa hovyo! Serikali inapaswa kuratibu kila kitu katika nchi hii.
Tumejaribu ubepari walau kwa miaka ishirini na zaidi, wananchi wa kada ya kawaida ambao ni wengi nchi wameishia kuwa watazamaji tu ktk uchumi wa nchi yao pamoja na kukosa huduma bora za kijamii. Siungani nawe kuikosoa serikali kuja na karo elekezi! Tumeumizwa mara nyingi na wamiliki wa hizi shule binafsi kila uchao wanapandisha ada, kiwango cha elimu wanacho toa ni chakawaida pia mishahara kwa watumishi wao ni ya kawaida sana nayo imekaa kimatabaka! Hongera Rais Magufuli na serikali yako, tuko bega kwa bega nanyi.
 
Chakusikitisha zaidi ni hizi shule za MAKANISA (SEMINARY). Badala ya kuhudumia Waamini zenyewe ndo zinatisha kwa GHARAMA. Naamini SHETANI amekwisha tia timu huko madhabahuni.
 
Wewe ndio mjinga wa mwisho swala la elimu halipaswi kufanyiwa biashara

Kinacho gomba hapa ni mfumo ulio tulea. watu wengi bado wanawaza kijamaa wakati kimsingi tupo kwenye ubepari haswa! KIMSINGI KILA HUDUMA NI BIASHARA.Elimu ni biashara, Afyana huduma zake zote ni biashara, usafirishaji ni biashara,usafirishaji ni biashara n.k.Nani anafanya biashara ipi na kwa kiwango gani inategemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na mtaji wa mtu na walengwa wa biashara yake ni nini.SOKO NDIO HUAMUA BEI.

Kimsingi matabaka katika jamii hayakwepeki.hii ndivyo ilivyo duniani kotena nadhani hata mbinguni.vipi utapanga bei elekezi kwa shule inayo toa huduma zake kwa wanafunzi kama wako kwao? breakfast gharama yake ni karibu shs 5000, lunch shs10000 na dinner hivyo hivyo, na kuna wazazi wanaweza kuwasomesha watoto wao pale bila shida hata kama ada ni shs ml 7 kwa mwaka tena hawaja mwibia mtu yeyote ni fedha zao!

Huwezi kutamani kwenda kutibiwa TMJ HOSP AU AGAKHAN HOSPITAL wakati uwezo huna.Ungetamani na huko kuwe na bei elekezi? SERIKALI inacho takiwa kufanya ni kuboresha shule zake, hospitali zake ili wateja waende huko kupata huduma,

DUNIANI MADARAJA YA KIJAMII YAPO! Kuna huduma za first class, second class and so on.
 
Huu ndo uzur wa hapa jf jamaa anakuja na papara zake anajiona ana binge la hoja akianza kujibiwa na kupewa logic answer mwisho wa Sikh anajiona poor thinking
Je wauza mafuta nao wajipangie being zao?
Je kila MTU akijipangia patakalika umu nchin?
Acha serikali ipange mambo take inayoona itawapa wananch wake unafuu wa maisha....
 
hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

elimu si biashara mjomba. Elimu ni haki ya kila mwananchi...!
 
safi sana ili kuondoa matabaka ya elimu yaliyopo kati ya walionacho na wale wasionacho.
 
ingekuwa mm ningepeleka mswada bungen kwamba ukisha kuwa mtumishi wa uma ni lazima mtoto wako asome shule za serikali,familia zitibiwe kwenye hospital za serikali najua hiyo ingesaidia kuboresha hizo huduma,nakumbuka kipindi tupo shule kipindi hicho tulikuwa tunasoma na watoto wa watumishi wa uma kama wakuu wa mikoa au wilaya lkn siku hizi c dhan kama kuna mtu anapeleka mtoto wake huko..

siku hizi hawawapeleki na ndiyo hawa wanaotaka ada ishushwe na serikali!. Imekuwa fashion kwamba ukiwa mfanyakazi basi mtoto wako asomee shule binafsi aka "english medium". Lakini kwa mkulima, mvuvi, mfugaji, boda boda, machinga, mama ntilie nk. Yeye watoto wake kwenye shule za serikali.na ndiyo serikali haizijali. Sasa ada imewashinda na bado wanang'ang'ania huko wakati wameambiwa kwenye shule za serikali elimu ni bure!
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki![/QUOTE

Nyie ndio madairecta wa vishule binafsi ambao mtaji wa kuanzisha shule hizo mliiba serikalini, nawe n kajipu kaliko guswa na hili
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

mkuu nitajie hizo shule binafsi zinazotoa hiyo elimu bora
 
Duuh, kweli amepata mitusi anayostahili huyu zuzu mleta mada hii.
 
Nyinyi ndio mliofanya wafanyakazi wawe wezi, ada kila mwaka juu , kodi za nyumba zinapaa , bidhaa muhimu zinafumka tu bei ....hakuna true free economy dunia nzima ....kuna public goods lazima serikali iwe na mkono ...

Mkuu

za siku?.....huu uzi vichekesho tu! hata sijui huyu jamaa kachomoka chaka gani. Mwendo wa Magufuri ni zaidi ya ccm (sijajua ukawa).
 
mtoa nyuzi tatizo la ufisadi mliofanya ndio chanzo cha matabaka kielimu nchini
 
Ikulu ni Rais; kwa mantiki hiyo unatwambia kwamba Dr Magufuli ni mjinga sio? Yaani Rais ni mjinga wewe ni mwerevu kwa kujenga hivyo vishule vyenu vya kilanguzi kwa kuwakamua damu wananchi bila kutoa huduma ya elimu bora!? Dogo chunga sana domo lako; umesikia kwamba sasa serikali ipo na serikali hiyo ni ya John Pombe Magufuli! Shika adabu yako. Kumbuka "People who live in glass house do not throw stones!"; usidhani serikali hii haijui alichokifanya katika vichuguu vyenu hivyo mnavyoviita shule za binafsi!! Do not say you were not warned!!

Kazi kubwa ya serikali ni REGULATION; kutengeneza mazingira mazuri "level playing field kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya watu wake, kazi hiyo broadly interpreted; ni pamoja na kuwadhibiti walanguzi na conmen kama wewe and people of your ilk!

Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
 
Acha upuuzi, shule Binafsi wanatutoza Ada za majengo.

Japokuwa Siungi mkono ujamaa wa nyerere Siungi mkono uliberali holela wa kikwete, mkapa na mwinyi.

Katika nchi kama hii ambapo sector Binafsi Bado ni kichanga kiasi cha kutokuwepo ushindani katika bei za huduma ni muhimu Sana serikali kuelekeza bei. La msingi ni bei elekezi ziwe reasonable
 
Tatizo nyie mlio wekeza kwenye biashara ya shule mnatamaa sana, Fedha uliowekeza badala irudi in ten to 20 years wewe unataka irudi ndani ya very short period....

nahata sijui wengine hata kama mnazo busness strategies, or financial plans kuwawezesha kutoa huduma efficiently na kwa quality ya juu at the same time kujenga mahusiano bora na jamii ya kitanzania....yaliyowatokea sasa ni failure yenu on those important aspects za kibiashara na kijamii ...

Hebu mtutajie garama za shule especially kumlisha mtoto mmoja kwa siku, mshahara wa mwalimu, umeme, maji, ulinzi, stationery, usafiri kwa mtoto mmoja, interest za mikopo etc.

Shule yenye watoto 400 ada milioni 1 laki 2 jumla ya mapato kwa mwaka ni milioni 480, haya mtuambie cost zenu. na ninaamini mnapewa exemptions kwenye garama nyinginezo....

Pia tumeshawagundua janja yenu, kweli watoto wanaongea kingereza lakini masomo wanafeli...same level of performance kama st Kayumba.. nahili pia mnaliongeleaje,

Inakuaje pia watoto wanataka pocket money ya juu..! tumegundua mmeleta uswahili mashuleni wanawauzia chips na ma junk food..au mnawapa chakula duni...?!

Tunaomba takwimu...otherwise na nyie niwapigaji tu katika kivuli cha kutoa elimu ya kingereza...yamewakuta sasa...
sio kwamba wizarani hakuna wataalamu wa kufanya analysis za uendeshajiwa shule...

mmetuonea muda mrefu sana....na michango ya ajabu ajabu mliokua mnaiinaingiza kidikteta....ile ya kusema nilazima wazazi mchange blah bla bhlah. Sindano ya neno "lazima" imewageukia......tulieni dawa iwaingie..

Kuweni wazalendo na mumuogope mungu...

Wengi mmeanzisha hizi shule kijanja tu sidhani hata policies na sheria mnazijua, mmehonga honga tu kama wapitisha makontena bandari....

Acheni kelele bana....mlijisahau...
 
Back
Top Bottom