Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
- Thread starter
- #21
Last edited by a moderator:
Ujinga ni kuazima gari la shemeji yako kisha unaweka kishoka huku ukipigia misele mademu.
Ha ha ha ha hah LMAO!
ujinga ni kuipenda avatar ya mwanajamvi ukidhani ndivo alivo!
ujinga ni kwenda mlima City licha ya kuwa unajua huna hata senti tano mfukoni
afu ndo nilipokaa nìko matumbi nikifika buguruni sheli ntamwambia konda shusha
ujinga ni kujifanya supa star jamvini wakati ata wengine kwenye ukoo wenu hawakujui