Ujinga ni........

ujinga ni kusema mtu anatembea na dada yake ilhali unajua sometimes inauma japo utani si ndio Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo ujinga unazidiana lakini mwingine too much !
Kuna mtu alikua anasubiri meli Airport ! Huu mziki vipi !
 
ujinga ni kuzan wanaotumia majina ya kike apa JF ni wa kike ukaanza kukatia,kumbe unakatia madume
 
Ujinga ni kuacha karikiti zako ziote,
then ukiwa na promise na mpenzi wako ndo unaenda na Gillete ili akushave.
Nisingekuita angeku-shave nani?

Ujinga huo.
 
ujinga ni kujifanya supa star jamvini wakati ata wengine kwenye ukoo wenu hawakujui

alafu we kijana ng'ombe wangu leo hujawapa majani yakutosha,kesho nakusimamisha kazi,.....tuone jeuli yako ya kuchezea kazi badala ya kuchezea mshahara
 
ujinga ni kwenda kumtunza shost dressing table wakat ww vipodozi unaweka dirishani
 
ujinga ni kula wali/ugali nyama..then nyama wazila mwishoni tu:bange::bange::bange:
 
Back
Top Bottom