DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa
The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms na unampigia makofi na kuamini Una deni juu yake
Watu walewale waliowatesa babu zako na kukutengeza mifumo kandamizi ndo unaamini wamebadilika watakukomboa kutoka katika umasikini , Ah!! This is old house
Na mwingine anakuuzia UJINGA ili uuliwe ili apate cha kuongea na kuandika na kupata PESA.
Kwa sasa , DON'T PLAY SOMEONE'S GAME.
kwakuwa kila MTU ana familia yake na ukoo wake , ikiwa unahisi mambo hayapo sawa , INGIA front upambane mwenyewe .
Kwakuwa kule KENYA mwaka 2007 watu waliuliwa Ila end of the day Odinga akaweka mambo sawa na Ku-shake hands na watu walewale.
Je ni nani anazifatilia zile Familia za marehemu walioliwa wakimpambania Odinga ?
Yupo ?
Kwahiyo Ikiwa wanasiasa wameanza VITA waache wao waingie Wenyewe front .
Kwakuwa end of the day wao watamaliza VITA yao na kukumbatiana Ila wewe utakuwa umeuliwa , kupewa ulemavu n.k
Calculate ur MOVE there's no one is here to secure ur life.
Usione MTU kafanikiwa KTK siasa ukaamini na wewe unaweza kufanya siasa.
Yaaani una hide the pain story na kukumbatia story ya nje
Katika siasa kuna kuuliwa , kupewa sumu, kupewa ulemavu, kufungwa , kupotezwa.
So ukiona unataka kuishi miaka mingi na kuwa salama ujue siasa sio sehemu yako .
BECAUSE YOU NEED SOME SHIT DOESN'T MEAN YOU CAND HANDLE IT
TANZAANIA KWANZA AMANI KWANZA OKOA MAISHA YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU FAMLIA INAKUTEGEMEA