Sasa msaada ni kwa ajili yako au watanzania wote, chema chajiuza kibaya chajitembeza wahenga walisemaDaaah siumeambiwa ni msaada au hujasoma

Uzalendo sio kushabikia bali kunyooshea mikono penye uzaifuWewe CHADOMO wakitofauti sana, Nimekufuatilia sana nimeukubali Uzalendo wako kwa Taifa lako, Hongera Sana endelea hivyohivyo
wenzio wanajar matumbi yao sio chadema , ikifika muda wakiona maslai ndan yenu watawasapoti tenaUjerumani wametusaliti kama Zitto
Wanatoaje Misaada wakati Mwenyekiti ana 'kesi' ya kubambikiwa na bado yupo mahabusu?
Sisi tunawadau wa maendeleo "mabeberu " anawajua kirobotoahaa, wakiwaletea misaada kama hii wanakuwa ni wadau wa maendeleo, wakiwaambia fuateni misingi ya sheria na haki za binadamu mnasema hawa mabeberu wasiwaingilie mambo yenu ya ndani hayawahusu siyo !!

Bila shaka njama ya mabepari. Wanataka kutuaminisha ni watu wazuri.View attachment 2046950===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita.
Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani inaridhishwa na hatua mbalimbali ambazo zimechukuliwa na Tanzania katika kupamabana na Uviko-19, ikiwemo elimu kwa wananchi pamoja na kampeni ya uhamasishaji ya kuhakikisha watanzania wanapata chanjo ya UVIKO-19
Balozi Regina Hess ametoa pongezi hizo leo 16/12/2021 wakati akikabidhi msaada wa vifaa tiba, vilivyotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia shirika lake la GIZ, kwa Mfamasia Mkuu wa Serikali na Uongozi wa MSD kwenye Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) yaliyoko Keko jijini Dar es salaam.
Vifaa hivyo vyenye thamani ya takribani shilingi bilioni mbili na laki tatu (2.330.958.072) vikijumuisha mashine za kusaidia kupumua 50 (ventilators)na mashine za kupima kiwango cha Oksjijeni ndani ya mwili zipatazo 5000 (pulse oximeters).
Balozi Hess ameongeza kwamba Serikali ya Ujerumani imekua ikishirikiana na itaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye Nyanja mbalimbali za kimaendeleo, ikiwemo sekta ya afya, hasa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, ambapo awali ilitoa msaada wa maabara zinazotembea kwa serikali ya Tanzania ili kurahisisha upimaji wa wagonjwa wa UVIKO-19.
Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mfamasia Mkuu wa Serikali Bw. Daudi Msasi, ameishukuru Ujerumani kwa kuendelea kusaidia Tanzania katika mapambano dhidi ya UVIKO-19, na kusema vifaa hivyo vitasaidia kwa kiasi kikubwa katika utoaji wa huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
“Tunaishukuru sana Serikali ya Ujerumani kwani msaada huu umekuja kwa wakati muafaka, hasa kipindi hiki ambacho dunia imeshuhudia mlipuko wa wimbi jipya la virusi vya Corona aina ya Omicron tutasambaza vifaa tiba hivi kwenye maeneo mbalimbali nchini, ili vikaongeze nguvu kwenye mapambano dhidi ya UVIKO-19” alisema Msasi.
Bw.Msasi amesisitiza kwamba Vifaa tiba hivyo vitasambazwa kwenye takribani vituo 500.
Najua hapa CHADOMO wamenuna sana aiseView attachment 2046950===

NaWatawasaliti woteUjerumani wametusaliti kama Zitto
Wanatoaje Misaada wakati Mwenyekiti ana 'kesi' ya kubambikiwa na bado yupo mahabusu?
NdioSio kuchere, bali ni kuchele
kazi nzuri sanaaView attachment 2046950===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita.
Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani inaridhishwa na hatua mbalimbali ambazo zimechukuliwa na Tanzania katika kupamabana na Uviko-19, ikiwemo elimu kwa wananchi pamoja na kampeni ya uhamasishaji ya kuhakikisha watanzania wanapata chanjo ya UVIKO-19
Balozi Regina Hess ametoa pongezi hizo leo 16/12/2021 wakati akikabidhi msaada wa vifaa tiba, vilivyotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia shirika lake la GIZ, kwa Mfamasia Mkuu wa Serikali na Uongozi wa MSD kwenye Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) yaliyoko Keko jijini Dar es salaam.
Vifaa hivyo vyenye thamani ya takribani shilingi bilioni mbili na laki tatu (2.330.958.072) vikijumuisha mashine za kusaidia kupumua 50 (ventilators)na mashine za kupima kiwango cha Oksjijeni ndani ya mwili zipatazo 5000 (pulse oximeters).
Balozi Hess ameongeza kwamba Serikali ya Ujerumani imekua ikishirikiana na itaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye Nyanja mbalimbali za kimaendeleo, ikiwemo sekta ya afya, hasa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, ambapo awali ilitoa msaada wa maabara zinazotembea kwa serikali ya Tanzania ili kurahisisha upimaji wa wagonjwa wa UVIKO-19.
Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mfamasia Mkuu wa Serikali Bw. Daudi Msasi, ameishukuru Ujerumani kwa kuendelea kusaidia Tanzania katika mapambano dhidi ya UVIKO-19, na kusema vifaa hivyo vitasaidia kwa kiasi kikubwa katika utoaji wa huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
“Tunaishukuru sana Serikali ya Ujerumani kwani msaada huu umekuja kwa wakati muafaka, hasa kipindi hiki ambacho dunia imeshuhudia mlipuko wa wimbi jipya la virusi vya Corona aina ya Omicron tutasambaza vifaa tiba hivi kwenye maeneo mbalimbali nchini, ili vikaongeze nguvu kwenye mapambano dhidi ya UVIKO-19” alisema Msasi.
Bw.Msasi amesisitiza kwamba Vifaa tiba hivyo vitasambazwa kwenye takribani vituo 500.
Kwenye msaada wanaitwa wafadhili, kwenye demokrasi wanaitwa Mabeberu.View attachment 2046950===

Nanani?Kwenye msaada wanaitwa wafadhili, kwenye demokrasi wanaitwa Mabeberu.
Germany ipi? Hii inayolilia njaa kila kukicha. Hawana chao hao tena. Malofa tu ndio wataweweseka.Najua hapa CHADOMO wamenuna sana aise
Hiyo pesa mbuzi inatolewa na taifa kubwa kama Ujerumani ni dharau kwa Tanzania. Mo tu kachangia 4bn kujenga uwanja wa mpiraView attachment 2046950===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita.
Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani inaridhishwa na hatua mbalimbali ambazo zimechukuliwa na Tanzania katika kupamabana na Uviko-19, ikiwemo elimu kwa wananchi pamoja na kampeni ya uhamasishaji ya kuhakikisha watanzania wanapata chanjo ya UVIKO-19
Balozi Regina Hess ametoa pongezi hizo leo 16/12/2021 wakati akikabidhi msaada wa vifaa tiba, vilivyotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia shirika lake la GIZ, kwa Mfamasia Mkuu wa Serikali na Uongozi wa MSD kwenye Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) yaliyoko Keko jijini Dar es salaam.
Vifaa hivyo vyenye thamani ya takribani shilingi bilioni mbili na laki tatu (2.330.958.072) vikijumuisha mashine za kusaidia kupumua 50 (ventilators)na mashine za kupima kiwango cha Oksjijeni ndani ya mwili zipatazo 5000 (pulse oximeters).
Balozi Hess ameongeza kwamba Serikali ya Ujerumani imekua ikishirikiana na itaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye Nyanja mbalimbali za kimaendeleo, ikiwemo sekta ya afya, hasa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, ambapo awali ilitoa msaada wa maabara zinazotembea kwa serikali ya Tanzania ili kurahisisha upimaji wa wagonjwa wa UVIKO-19.
Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mfamasia Mkuu wa Serikali Bw. Daudi Msasi, ameishukuru Ujerumani kwa kuendelea kusaidia Tanzania katika mapambano dhidi ya UVIKO-19, na kusema vifaa hivyo vitasaidia kwa kiasi kikubwa katika utoaji wa huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
“Tunaishukuru sana Serikali ya Ujerumani kwani msaada huu umekuja kwa wakati muafaka, hasa kipindi hiki ambacho dunia imeshuhudia mlipuko wa wimbi jipya la virusi vya Corona aina ya Omicron tutasambaza vifaa tiba hivi kwenye maeneo mbalimbali nchini, ili vikaongeze nguvu kwenye mapambano dhidi ya UVIKO-19” alisema Msasi.
Bw.Msasi amesisitiza kwamba Vifaa tiba hivyo vitasambazwa kwenye takribani vituo 500.
Hizo zama zilishapita, sijasikia wakiitwa mabeberu kwa miezi kama 9 sasa, hata Jamvi la Habari naona nao wamelisahau hilo neno
VIVA TANZANIA VIVAView attachment 2046950===