Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

Mimi namuona mwalimu mmoja hapa sengerema kawa kama mwendawazimu. Anashindwa aanze na lipi amalize na lipi....! Kila leo maagizo
Hata huku ni hivyo hivyo. Mtendaji kata anakagua, Diwani anakagua, Afisa elimu kata anakagua, Mkuu wa wilaya anakagua, Mkurugenzi anakagua, Mhandisi wa wilaya anakagua, Afisa elimu mafunzo ya ufundi stadi anakagua...(Hapo ni ngazi ya wilaya tu na sijawataja wote).
Kinachosikitisha wengine hata BOQ hawaisomi ila wanatoa maelekezo tu...daaah.
 
Huu utaratibu wa sasa ni mzuri sana sana... Enzi za wazabuni darasa moja lilijengwa kwa mil 60 kwasasa naelekea kumaliza jengo kwa mil 20 na chenji inabaki
 
Victor Willbard Mlaki hujapewa tu ukuu wa shule toka umerudi toka masomoni ulikoenda kuchukua Master's.
 
Hata huku ni hivyo hivyo. Mtendaji kata anakagua, Diwani anakagua, Afisa elimu kata anakagua, Mkuu wa wilaya anakagua, Mkurugenzi anakagua, Mhandisi wa wilaya anakagua, Afisa elimu mafunzo ya ufundi stadi anakagua...(Hapo ni ngazi ya wilaya tu na sijawataja wote).
Kinachosikitisha wengine hata BOQ hawaisomi ila wanatoa maelekezo tu...daaah.
.. hapa ninachofuata ni maelekezo ya Mhandisi tu, maana ndio anaesign nyaraka zote.. na posho kidogo nampa kiroho safi. Hao wengine wanakuja tu kusafisha macho yao
 
Victor Willbard Mlaki hujapewa tu ukuu wa shule toka umerudi toka masomoni ulikoenda kuchukua Master's.
Hicho ndicho wanachojua tu. Badala waende kusoma wachape kazi. Wanaenda kusoma ili wafanye kazi kidogo malipo makubwa.
 
ah..ah.. hii kuna mahali wanafanya halafu wakaguzi wanawaliza wakuu wa shule juu ya bati. Majibu hawana wanaamua kunyamaza kuwalinda maafisa wao.
Hizi serikali za nchi za kiafrika ni bure kabisa. Kwa nini wasingetangaza tenda wampe mkandarasi mmoja au wawili au idadi inayofaa wajenge? Serikali ibaki kwenye usimamizi tu
 
Lakini kwa kiwango chako cha elimu na uzoefu kazini inabidi wilayani wakufikirie kukupa shule uongoze.
Sikusoma ili kupata kiwango cha kupewa shule kuongoza ila kupanua maarifa yangu kwa maslahi yangu na ya jamii yangu. Kwa kifupi sikusomea cheo chochote kile na wala sina habari hizo. Uzi unalenga madhila wanayoyapata wakuu wetu juu ya ujenzi wa madarasa unaoendelea nchini .
 
Tumieni wakandarasi;

Tangaza tenda,
Mpe kazi mkandarasi,
Lipa kwa mujibu wa sheria.
Mfano;
25% malipo ya awali
25% nusu ya kazi
25/% akimaliza kazi
25% baada kuthibitisha
ubora wa kazi.
NB:
Kila h/mashauri ina mhandisi
na team ya ufuatiliaji.
Hamko peke yenu,chapeni
kazi.
 
Tumieni wakandarasi;

Tangaza tenda,
Mpe kazi mkandarasi,
Lipa kwa mujibu wa sheria.
Mfano;
25% malipo ya awali
25% nusu ya kazi
25/% akimaliza kazi
25% baada kuthibitisha
ubora wa kazi.
NB:
Kila h/mashauri ina mhandisi
na team ya ufuatiliaji.
Hamko peke yenu,chapeni
kazi.
tatizo hapo litakuja kwenye muda
 
Back
Top Bottom