dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,401
- 15,980
Tucheke kidg
Jamaa anaishauri serikali kuachana na ujenzi wa shule na badala yake ifanye Mambo mengine kwani madarasa yalioko yanatosha kbsa anataka serekali ianzishe utaratibu wa masomo kwa kupokezana kwamba kuna watakaoingia asbh hadi saa saba kisha wa mchana wengine waingie nao hadi saa jioni 12 nao watoke
Kwa kufanya hvyo pesa za kujenga Madarasa iboreshwe maslahi ya walimu badala kujaza madaraza nchi nzima bila kuwa utaratibu unaoeleweka, anasema itafika wakati nchi nzima imejaa shule
Anasema " Hakuna sababu ya kujenga tena madarasa anasema miaka yote sisi tunaangaika na Madarasa na vyoo wkt kuna uwezekano kabisa wa kubadili utaratibu wa kusoma. Itasadia sana serikali kufanya Mambo mengine ya muhimu
Mimi pia naunga mkono hoja haiwezekani kila mwaka sisi tunakimbizana na ujenzi badala tubuni mbinu na njia za kuweza kupeleka elimu na kuongeza nafasi za ajira kwani kutakuwa na walimu wa mchana na wa jioni na hakika tutaokoa maeneo na muda pia