Ujenzi wa daraja la Agha khan kwenda Coco beach waanza

Shigganza

Senior Member
May 24, 2018
160
412
Ujenzi wa daraja linalopita baharini kutoka ufukwe wa Agha khan hadi coco beach jijini Dar es salaam umeanza, mambo kama haya ingekuwa vodacom ungesikia yajayo yanafurahisha mko tayar?
IMG_1174.JPG
 
Ujenzi wa daraja linalopita baharini kutoka ufukwe wa Agha khan hadi coco beach jijini Dar es salaam umeanza, mambo kama haya ingekuwa vodacom ungesikia yajayo yanafurahisha mko tayar?
Kwahiyo litasaidia sana wakulima bei za mazao yao itapanda....!!!! Uchumi bila vipaumbele ni shida sanaaa
 
Miundombinu pekee huku mambo mengine yakipuuzwa, ni kujidanganya.

Leo Dola teyari inadaiwa kugonga shilingi. 2013
 
Hata babu yako litamsaidia kiuchumi, au huamini hadi liamishiwe kwenu kama kuna bahari?
Mkuu sawa ni muhimu, ila kwa hali ya nchi yetu sio priority kwasasa ni sawa na baba, ana mtoto mwenye homa kali, na kipato chake akimwezeshi kushugulikia vyote kwa wakati mmoja, anaamwa kulipia mchango waharusi na kuacha mtoto nyumbani bila matibabu......vyote ni mhimu lakini priority yako ni muhimu zaidi.
 
Cost - benefit analysis imefanyika? Fedha hiyo si ingejenga barabara na daraja Tabata barakuda hadi Buguruni?

Ingerahisisha maelfu ya wanaishi Tabata, badala ya kuzunguka dampo au Majumba sita wangekuwa wanakatisha vingunguti.
 
Kutoka Aghkhan kwenda Oysterbay litapunguza foleni au siyo kweli yajayo yanafurahisha sana......hiyo fedha wangeanza na mwendokasi phase 2 ya mbagala na gombz.
 
Back
Top Bottom