UJENZI na shilingi 252 bilioni

UJENZI na shilingi 252 bilioni

Mh Zitto ,

The constitution have all along provided for independence of the CAG that when performing his function, he should not be subject to any order or direction from any Government Department or any person on any issue concerning such audit.Hivyo nadhani tuanze kuzitumia vyema mahakama zetu pindi inapotokea upotoshaji wenye ushahidi kama CAG akitoa msimamo unaotengua ripoti yake bila sababu zenye mantiki hivyo kudhihirisha possibility of breach of our constitution.Pamoja na mahakama kuwa impaired pia lakini daima njia za kisheria zina namna ya kulazimisha haki.

Hata CAG anaweza kuchukuliwa hatua akiruhusu independence yake kuwa compromised kama ulivyosema hapa chini;

"Nimesikia CAG kaitwa na Katibu Mkuu Kiongozi na kumtaka awasafishe. Ukweli ni kwamba PAC ilitumia taarifa ya CAG na ni yeye CAG aliyeita matumizi haya kuwa ni matumizi hewa na mradi wenyewe kuwa ni mradi kivuli. Taarifa ya Kambi ya Upinzani Bungeni imenukuu kauli za Mawaziri wakati wa mjadala wa Bajeti za Serikali na Taarifa ya CAG kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, 2012. Sehemu ya Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni hii hapa"
 
Last edited by a moderator:
Suala hili lafaa lipewe nafasi ya juu sana.Nafahamu upo mchakato wa katiba tafadhali na hili lisiachwe hewani hewani.
 
Mh Zitto kusema tu Ufisadi huu wa Hawa jamaa haitoshi! Tunaitaji kuona wanafikishwa katika vyombo vya Sheria na kujiuzuru nyazifa zao! Kila Mara mnawataja mafisadi lakini bado tu hawahawa mafisadi wanatesa tu mitaani! Tunaitaji sasa tuone Hawa wanachukuliwa hatua maana Kama sikosei hakuna ata fisadi mmoja alieshitakiwa! Mh Zitto Tunaitaji kuona nguvu Zaidi katika hili swala kwasababu ufisadi ukishamili huzaa serikali legelege!
Ndugu yangu nadhani huijui vizuri Tanzania inayolalamikiwa hapa.Mfumo uliopo kwa sasa hivi ni mahususi kwa ajili ya kulinda Maovu kama haya.Kama ambavyo Zitto ameeleza hapo juu Mamlaka ya kuanzisha mchakato wa kisheria kwa jambo hili ni CAG lakini kama ambavyo imeelezwa tayari ameshapewa maelekezo kutenda kunyume cha matakwa ya utendaji wake kisheria.Mambo kama haya si ya kuachia mtu mmoja kuyashughulikia ila kinachotakiwa ni kwa ujumla wetu kama wananchi wa Tanzania kukataa kutawaliwa kwa mfumo huu wa kutuingiza katika umaskini usio wa lazima.Nionavyo mimi Magufuli ndani ya CCM sasa anaonekana ni shujaa kwani katika harakati za kusaka hela za kampeni 2015 anaonekana ni mshika Bango mzuri.
 
Sasa nini kifanyike, au kinachoweza kufanyika? Tuende hatua zaidi ya kuanika uozo; maana miuozo ya kuzidi imeanikwa, ila hatua stahiki ni za kuhesabu kama zishachukuliwa.
 
Mh Zitto kusema tu Ufisadi huu wa Hawa jamaa haitoshi! Tunaitaji kuona wanafikishwa katika vyombo vya Sheria na kujiuzuru nyazifa zao! Kila Mara mnawataja mafisadi lakini bado tu hawahawa mafisadi wanatesa tu mitaani! Tunaitaji sasa tuone Hawa wanachukuliwa hatua maana Kama sikosei hakuna ata fisadi mmoja alieshitakiwa! Mh Zitto Tunaitaji kuona nguvu Zaidi katika hili swala kwasababu ufisadi ukishamili huzaa serikali legelege!

usiongee kama kasuku.... zito kasha play part yake ya ku expose ufisadi nadhan yeye hana jeshi la polisi wala mahakama ni muda wa vyombo husika kulichukua na kulifanyia kazi pamoja na wewe kama mwananchi kupiga kelele na kushinikiza lifanyiwe kazi badala ya kuto concern zako tu hapa mtandaoni!!!!
 
Kwa Katiba hii tuliyonayo ambayo CAG anateuliwa na Rais sitashangaa CAG huyu huyu akaja na maelezo mengine tofauti na yale yaliyomo katika hio taarifa yake ya Ukaguzi, tena kwa maagizo ya Ikulu.
Ilitokea katika issue ya Jairo, sitashangaa ikitokea pia kwa hili.

Kwani mkuu Kivumah si unaona kwenye taarifa hapo juu ashaitwa na katibu Mkuu Kiongozi na kupewa maelezo kuwa awasafishe
Soma hapa mkuu uone

Nimesikia CAG kaitwa na Katibu Mkuu Kiongozi na kumtaka awasafishe. Ukweli ni kwamba PAC ilitumia taarifa ya CAG na ni yeye CAG aliyeita matumizi haya kuwa ni matumizi hewa na mradi wenyewe kuwa ni mradi kivuli. Taarifa ya Kambi ya Upinzani Bungeni imenukuu kauli za Mawaziri wakati wa mjadala wa Bajeti za Serikali na Taarifa ya CAG kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, 2012. Sehemu ya Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni hii hapa
 
bado naangalia hiki kiasi cha pesa nawaza mengi tu kichwani.
 
Kwani mkuu Kivumah si unaona kwenye taarifa hapo juu ashaitwa na katibu Mkuu Kiongozi na kupewa maelezo kuwa awasafishe
Soma hapa mkuu uone

Nimesikia CAG kaitwa na Katibu Mkuu Kiongozi na kumtaka awasafishe. Ukweli ni kwamba PAC ilitumia taarifa ya CAG na ni yeye CAG aliyeita matumizi haya kuwa ni matumizi hewa na mradi wenyewe kuwa ni mradi kivuli. Taarifa ya Kambi ya Upinzani Bungeni imenukuu kauli za Mawaziri wakati wa mjadala wa Bajeti za Serikali na Taarifa ya CAG kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, 2012. Sehemu ya Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni hii hapa
Mr Rocky you nailed it Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Tumeendelea kuhoji kwenye Kamati ya PAC ambapo Katibu Mkuu wa Wizara alitoa majibu yaliyodhihirisha kuwa Serikali iliomba Fedha Bungeni kwa udanganyifu, haikusema ukweli fedha hizo wanataka kufanyia nini? Hapakuwa na sababu ya Mawaziri kusema uwongo Bungeni ili Bunge liidhinishe Fedha. Wasipowajibishwa kwa haya, wataendelea kuwa wanasema uwongo.
Hapo kwenye wekundu.....pana utata
Au inawezekana ndio sababu iliyofanya JK amfute kazi Mhandisi Omary Chambo kwenye huu uteuzi wa juzi wa makatibu wakuu wa wizara ili kuficha huo uozo? Jamani hii nchi mnatutesa kwa presha!
 
Bunge limekuwa kama jibwa kubwa kibogoyo, lililokatwa kucha!!!

dog_toothles_my_father_by_shadow_toothless-d50fox2.png
 
Mheshimiwa Zitto, hapo ndipo ninapokukubali. Nasikitika nimesikia tetesi kwamba unataka usigombee tena ubunge, hilo litakuwa siyo pengo kwa wana kigoma kaskazini pekee bali Tanzania kwa ujumla. Please endelea na Ubunge wakati unajipanga kwa kuongoza nchi.
 
shilingi 252 bilioni

Ni zaidi ya EPA hii. Hizi hela zina weza Kufanya mambo mengi sana ya maana na tangible.
 
Back
Top Bottom